Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa .

Hakika majaribu ni mtaji ,Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo ndio tunakumbuka Umuhimu wa Bima ya Nyumba au Biashara.!
 
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa .

Hakika majaribu ni mtaji ,Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo imoji za kucheka zinaashiria nini..kama sio unafiki?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa .

Hakika majaribu ni mtaji ,Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila penye majaribu kama haya,Mungu huwrka upenyo ambao ni wajibu wako kuutafuta

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa .

Hakika majaribu ni mtaji ,Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
Hapo sijaona mtaji, bado
 
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa .

Hakika majaribu ni mtaji ,Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
Kwa furaha hii uliyokuwa nayo, hukuwa na haja ya kufungua uzi.
 
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa .

Hakika majaribu ni mtaji ,Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
Kama ni kweli mkuu umebarikiwa roho mbaya, yaani ukaweka na emoji ya kicheko kuonesha furaha. Khaa...
 
Ndio vijana wa chadema mjifunze kudai mambo ya msingi badala ya kupambania Yale yasiyokuwa na tija kama mikutano ya kisiasa.
 
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa .

Hakika majaribu ni mtaji ,Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini unamcheka mtu ambaye kapata matatizo makubwa?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom