Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

Kwa furaha uliyoonyesha nafikir ni stori ya kufikirika siyo kweli lait kama ni kweli bas utakua na utindindio wa ubongo maana syo vtu vya kufurahi
 
Habari wadau..!

Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.

Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
Ni mtaji lakini yanaumiza sana. Ukicheza unakuwa mtaji wa kukuondoa duniani
 
Habari wadau..!

Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.

Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama vyote vina bima akae mahali aagize bia na kitimoto a relax
 
Maisha ni ajabu sana haya yote yatapita na maisha yatakuwa salama tena
 
Back
Top Bottom