Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa


Hapo ndio tunakumbuka Umuhimu wa Bima ya Nyumba au Biashara.!
 
Hizo imoji za kucheka zinaashiria nini..kama sio unafiki?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila penye majaribu kama haya,Mungu huwrka upenyo ambao ni wajibu wako kuutafuta

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hapo sijaona mtaji, bado
 
Kwa furaha hii uliyokuwa nayo, hukuwa na haja ya kufungua uzi.
 
Kama ni kweli mkuu umebarikiwa roho mbaya, yaani ukaweka na emoji ya kicheko kuonesha furaha. Khaa...
 
Ndio vijana wa chadema mjifunze kudai mambo ya msingi badala ya kupambania Yale yasiyokuwa na tija kama mikutano ya kisiasa.
 
Kwanini unamcheka mtu ambaye kapata matatizo makubwa?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…