Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

Kwa furaha uliyoonyesha nafikir ni stori ya kufikirika siyo kweli lait kama ni kweli bas utakua na utindindio wa ubongo maana syo vtu vya kufurahi
 
Ni mtaji lakini yanaumiza sana. Ukicheza unakuwa mtaji wa kukuondoa duniani
 
Kama vyote vina bima akae mahali aagize bia na kitimoto a relax
 
Ndio vijana wa chadema mjifunze kudai mambo ya msingi badala ya kupambania Yale yasiyokuwa na tija kama mikutano ya kisiasa.
Kuungua soko ndio mambo ya msingi
 
Maisha ni ajabu sana haya yote yatapita na maisha yatakuwa salama tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…