Majasusi wa Iran ndani ya israel wadakwa

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
3,915
Reaction score
6,272
Israel iliwashikilia raia wake zaidi ya sita, akiwemo askari muasi wa jeshi,kwa tuhuma za kufanya ujasusi ndani ya israel kwa ajili ya Iran.
Watuhumiwa hao walipiga picha kambi za jeshi, taarifa za watu mahsusi kwa ajili ya mauaji na kuzituma Iran kwa njia ya siri(code) waliyopewa na Iran
NB:
kwenye ujasusi hakuna aliye salama
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-21-15-28-24-939.jpg
    446.3 KB · Views: 5
Hivi mbona sisi kambi zetu zote zinaonekana Google earth, Mr. Slim akiamua kufanya yake si anatumaliza?
 
Pesa haina jinsia wala rangi
 
Hivi mbona sisi kambi zetu zote zinaonekana Google earth, Mr. Slim akiamua kufanya yake si anatumaliza?
Huyo Mr slim anavyopaishwa kama wanavyopambwa waisrael yani mbwembwe vita wanapigana na wanamgambo, kwa Iran mpaka leo anajishauriaingieje baadaya kushushiwa missiles za kufa mtu,, Mr slim wanyonge wake jeshi la Congo lisilokuwa hata na nidhamu ya jeshi, proxy wake m23,, waliyakanyaga mwaka 2013 kwa afande mwakiborwa, walichokutana nacho hawatakisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…