residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Adui wa "Matushka Rossiya" atasakwa popote na kupotezwa.Hahahaha acha wajipe Moyo,huyo usikute ss hv yeye na familia yake washahamishiwa USA na watapata Ulinzi wa CIA na FBI kwa maisha Yao yote. Sio rahisi kama unavyodhani
Naunga mkonyoNi vigumu kukubali kuwa Natalya ndiye hitman kwan aliingia Russia July akiwa na mtoto wa miaka 12. Ni kikosi gan kitampeleka Hitman nje ya nchi akiwa na mtoto?
Kama nia ni kumuua baba mtu ilikuwaje apange kwenye ghorofa anakoishi mtoto?
Ilikuwaje kwa haraka sana urussi ikajua each and everything about Natalya....
Hiyo ni internal job yaan Natalya ametumika na Warusi to silance warusi wenye misimamo mikali wanaokosoa Russia kushindwa kuiteka Ukraine yote mpaka leo.
Ultra nationalist Russians wanalilaumu jeshi kutokuonesha viwango walivyotarajia now to silance them wamemla kichwa huyu binti ili kuwafanya wawe na uchaguzi wa maneno wakati wakikosoa utendaji wa jeshi.
Natalya anafanya kazi kwa niaba ya Russia
Kuna kipindi viongozi wa Kirusi walitekwa na magaidi. Russia wakafanya mawasiliano na magaidi na kuwataka wawaachie. Magaidi wakakataa! Ili kuonyesha wapo serious mmoja wa mateka wa Kirusi akauliwa.
Kilochofuatia magaidi wakawa wanashangaa wanapokea zawadi zilizofungwa tofauti tofauti kuangalia ndani wanaona viungo vya binadamu. Leo utumbo, kesho vidole n.k Mwisho wa siku wakapokea vichwa kabisa! Magaidi kuangalia ni ndugu zao.
Wakatumiwa ujumbe unaosema; wanafahamu watu wao wa karibu na koo zao zote za hao magaidi walipo. Wachague: (1) Wakae na mateka wa Kirusi au (2) Waendelee kupokea zawadi za viungo vya miili ya ndugu zao ambao tayari watakua ni maiti (?)
Mateka wa Kirusi wakaachiwa huru! Na zunguka kote huwezi kuona Russia wanasumbuliwa na magaidi kama ISIS na kama hao nchini mwao kama zisumbuliavyo nchi za kimagharibi. Kwa sababu magaidi wenyewe wanajua ya kuwa mzungu aina ya Russia ukimletea umafia akikuvalia njuga umafia wake unashitukiza zaidi.
Na mimi kilichoniweka hoi unamuua binadamu mwenzako kwa radioactive material?!
Hongera kwake sio kwako.Asante saana
Naona unabwatuka tu hapa,uko mis informed unadandia dandia tu mada!Nimekwambia weka link au source ya hiyo habari Putin alitangaza siku 3,au hiyo ya Miezi 6!Kweli kichwa chako kigumu sana, mkuu Ukrean amepewa silaha za long range muda tena lakini hajaamua tu kupiga Russia., Kabla putin alitangaza 72hrs then six months, sasa anapigana kwa hasara bajet yake imeisha na askari ndo ivyo tena wanajijeruhi wenyewe ili waondoshwe kwenye vita wanauliwa kama nzige, HIMARS at its best
Huo Muda wa kutoa maelezo yote hayo ungekua unapiga Cha 3 Sasa hivi.Hayaelewagi hayo.Naona unabwatuka tu hapa,uko mis informed unadandia dandia tu mada!Nimekwambia weka link au source ya hiyo habari Putin alitangaza siku 3,au hiyo ya Miezi 6!
Naomba Huo ushahidi wa Ukraine kupewa Long range missiles zinazoweza kufika Moscow!
US mwenyewe alisema hatotoa long range missile,wewe hiyo taarifa umeitoa wapi?
Eti bajeti imeisha,kumbe kweli napoteza muda Kwa kilaza!Hiyo bajeti kuisha ni Kwa mujibu wa nani?Maana mfano Kwa mafuta na gas,Sasa hivi Russia ndio anapata Hela nyingi zaidi ya kabla ya vita!Huko Ulaya na Marekani wananchi ndio wanalia Kwa inflation!Sasa wewe unaongea porojo gani?
Ukraine anasaidiwa na mataifa zaidi ya 30 Kwa Silaha,manpower, training na intelejensia lakini Bado anachapika field!Bila msaada wa mataifa hayo 30,operation ingekuwa imeisha!
Us aliingia Syria Ili ampindue Assad,baada ya Russia kuona hivyo naye akaingia kumsaidia Assad!Tuambie mwaka wa ngapi huu US Bado anambwela?
Naona niachane na wewe nimegundua napoteza muda tu!
Tangu ule msafara wa km 40 wa vifaru ugeuzwe vyuma chakavu,hakuna kitu nitawaelewa Urusi kuhusu Kyiv.Tutafika hadi December na Kyiv itakuwa imesimama imara.Endeleeni kusubri,halafu Russia kila siku anaadvance!
Sasa huko Kyiv tayari US wameshawaambia raia wao waondoke na wako mbioni kufunga ubalozi!Yajayo yanafurahisha!Ukraine kafanya makosa makubwa sana kurusha drone yenye bomu Crimea!Pia wakakosea Tena Kwa kumuua mwandishi wa Russia Kwa Bomu!Hiyo ndiyo imekuwa game changer,Sasa Russia hataki kucheka na kima!Amewapeleka mdogo mdogo kuepusha maafa makubwa!Sasa ameona mnachezea sharubu za Simba!Wiki hii mtapoteana humu!Mtaanza Julia war crimes!
haipo ila sio kwa mipango ya kitoto kama unayoifikiria hasa kwa kipind hiki Urusi yupo vitan na anajua anything can happen at any time so amejiboresha sana ki intelligence , so inakuwa aibu kubww kwa mdada kuingia ndan ya Urusi na kufanya matukio na kufanikiwa kutoka nje ya UrusiHivi ni nchi gani ambayo haiwezekani kabisa mtu kuingia na kuua na kuondoka bila kukamtwa!
Zingine hizi ni hadithi za vijiweniKuna kipindi viongozi wa Kirusi walitekwa na magaidi. Russia wakafanya mawasiliano na magaidi na kuwataka wawaachie. Magaidi wakakataa! Ili kuonyesha wapo serious mmoja wa mateka wa Kirusi akauliwa.
Kilochofuatia magaidi wakawa wanashangaa wanapokea zawadi zilizofungwa tofauti tofauti kuangalia ndani wanaona viungo vya binadamu. Leo utumbo, kesho vidole n.k Mwisho wa siku wakapokea vichwa kabisa! Magaidi kuangalia ni ndugu zao.
Wakatumiwa ujumbe unaosema; wanafahamu watu wao wa karibu na koo zao zote za hao magaidi walipo. Wachague: (1) Wakae na mateka wa Kirusi au (2) Waendelee kupokea zawadi za viungo vya miili ya ndugu zao ambao tayari watakua ni maiti (?)
Mateka wa Kirusi wakaachiwa huru! Na zunguka kote huwezi kuona Russia wanasumbuliwa na magaidi kama ISIS na kama hao nchini mwao kama zisumbuliavyo nchi za kimagharibi. Kwa sababu magaidi wenyewe wanajua ya kuwa mzungu aina ya Russia ukimletea umafia akikuvalia njuga umafia wake unashitukiza zaidi.
Na mimi kilichoniweka hoi unamuua binadamu mwenzako kwa radioactive material?!
una uhakika gan kama anaeza kuwa ni jasusi la hao anao wakimbia , WEST sio wakurupukaj kama Putin , wenyew wanakuambia hawana adui wa kudumuFSB wapo vizuri, team NATO kumbukeni ambae alikuwa targeted ni muandishi wa habari sio kiongozi wa juu katika serikali ya Putin awe waziri n.k
Kumbukeni Snowden alipofanya tukio na yeye kama CIA anayeijua FSB vizuri aliona Russia ndipo mahala pekee atakwenda kunusuru uhai wake, na mpaka sasa yupo salama, CIA wako wapi kummalizia aliko huko Russia kama FSB ni weak?
unapotoa mifano angalia na zama za matukio husika , kwa kipind hiki ni risk sana kumuua huyo mama maana anaeza kuwa chambo ya kuwasaka hao mnaohisi watamsaka bibie , ukiwa msomaj bila reasoning hutolewa vingi , so ni ngumu sana Urusi kutuma yeyote kwenye mipaka ya nchi za west na usitegemee huyo dada atakuwa anaishi Ukraine kwa kipind hiki , na ndio maana katokea Estonia nchi mshirika wa NATO ili Urusi ajichanganye tu , kiufupi Kila nchi huja na ripoti kila baada ya matukio makubwa na hiyo ripoti haimaanish wataeza mkamata , Huyo dada anaielewa Urusi zaid yako na ndio maana kafanikiwa kuunda plan na akafanikiwa kutoka nje ya Urusi , mbali na yote ungekuwa timamu lazima ungeelewa kuwa ndani ya URUSI yapo mashushu ambayo yamemsaidia huyu dada kwa mambo mengi sana , na ubora wa Urusi ungeanzia kweny kuwashika hawa mashushushu kama hawawez bas hawatoweza mshika huyo dadaSuala si kati yangu na huyo bibie yupi mjinga! Suala ni kuwa uwe tayari kwa lolote litakalotokea. Uwe tayari kwa kupokea majibu.
Na mimi si mwandishi wa hili bali ni historia ilishathibitisha hili ya kuwa Russia akilivalia njuga ni hatari mnoo! Russia alishakuwa na majasusi ndani ya pentagon.
Anthony Blunt! Alikuwa ni professor wa art history University of London. Director of the courtauld Institute of Art, na surveyor of the queen's pictures.
Queen Elizabeth alimpatia tuzo huyu! Lakini alikuwa ni Russian spy in the royal family. Alikuwa ni Russian spy in the palace.
Ukijenga mazoea ya kusoma haya mambo si kwamba utaonekana mjuaji na kwa wengine kuwa ni wajinga, laa hasha!Ni kama inavyotolewa tahadhari ya sumu kuwa ina madhara na inaweza kupelekea kutoa uhai wa kiumbe hai.
Kuzungumza hivi hakukufanyi kumfanya anaelamba sumu kuwa ni mjinga bali ni tahadhari tu! Ila ikiwa ana ushujaa wa kufanya hivyo ni kumuacha kwani ameshajiandaa kwa majibu atakayoyapata! Lakini haitoondoa tija ya kuwa sumu inadhuru.
Tumia akili yako vzr na jibu ushajipa kuwa baada ya kumuua walibakia hujiuliz tu kuwa target haikuwa Osama bali walikuwa na yao na ndo waliendelea nayo , yaan wabongo kaz kwel ushabiki mwingi hata unapopajua kuwa ni ukweliUkisikia chai ndio hii Sasa,kwamba walikuwa wanajua alipo ila hawakutaka kumuua?[emoji1787][emoji1787]
Haya vipi baada ya kumuua Osama,mbona US hawakuondoka Afghanistan mpaka mwaka Jana ndio wakafungasha?Kwahiyo sababu kwamba waliacha kumuua Ili wabaki wanaiba raw material ni nonsense!
Haya tuje,Russia ameshawahi kuteketeza maadui zake waliokimbilia kujificha UK na US!
Na huyo Binti akijifanya anakimbilia US na Russia akajua basi atakuwa amejihatarisha maana US haaminiki!
Msisahau Bado Russia ana akiba ya wamarekani wananyea ndoo!Kama huyu ambaye Bado wa moto kabisa basketballer Griner,ndio anaweza kuwa bargaining chip!
chai hii itaungua iondoe utam sasa , ipua wanywe warus wa buzaKuna kipindi viongozi wa Kirusi walitekwa na magaidi. Russia wakafanya mawasiliano na magaidi na kuwataka wawaachie. Magaidi wakakataa! Ili kuonyesha wapo serious mmoja wa mateka wa Kirusi akauliwa.
Kilochofuatia magaidi wakawa wanashangaa wanapokea zawadi zilizofungwa tofauti tofauti kuangalia ndani wanaona viungo vya binadamu. Leo utumbo, kesho vidole n.k Mwisho wa siku wakapokea vichwa kabisa! Magaidi kuangalia ni ndugu zao.
Wakatumiwa ujumbe unaosema; wanafahamu watu wao wa karibu na koo zao zote za hao magaidi walipo. Wachague: (1) Wakae na mateka wa Kirusi au (2) Waendelee kupokea zawadi za viungo vya miili ya ndugu zao ambao tayari watakua ni maiti (?)
Mateka wa Kirusi wakaachiwa huru! Na zunguka kote huwezi kuona Russia wanasumbuliwa na magaidi kama ISIS na kama hao nchini mwao kama zisumbuliavyo nchi za kimagharibi. Kwa sababu magaidi wenyewe wanajua ya kuwa mzungu aina ya Russia ukimletea umafia akikuvalia njuga umafia wake unashitukiza zaidi.
Na mimi kilichoniweka hoi unamuua binadamu mwenzako kwa radioactive material?!
bora wewe umeona pia yaan waanze kuua ndugu za magaidi wakitegemea gaidi ata waacha mateka kisa ndugu ashakufa tyrZingine hizi ni hadithi za vijiweni
Wewe ndiye utumie akili vizuri,Ulisema sio kwamba walikuwa hawajui alipo ila walikuwa wanatafuta sababu ya kubaki!Mimi nikajenga hoja kwamba US haitaji sababu ya Osama ila abaki afgan!Kama angempata na kumuua hata mwezi wa 1 basi angetafuta tu sababu ya magumaahi kubaki Ili aendelee kupora!Tumia akili yako vzr na jibu ushajipa kuwa baada ya kumuua walibakia hujiuliz tu kuwa target haikuwa Osama bali walikuwa na yao na ndo waliendelea nayo , yaan wabongo kaz kwel ushabiki mwingi hata unapopajua kuwa ni ukweli
Wangeenda kuua walau top ranking officer ningekuelewa,ila unaenda kumuua mtu asiye na ulinzi,mwandishi wa habari Tena mwanamke,halafu unataka credit na kusema Russia wazembe!Sikuelewihaipo ila sio kwa mipango ya kitoto kama unayoifikiria hasa kwa kipind hiki Urusi yupo vitan na anajua anything can happen at any time so amejiboresha sana ki intelligence , so inakuwa aibu kubww kwa mdada kuingia ndan ya Urusi na kufanya matukio na kufanikiwa kutoka nje ya Urusi
Baada ya kupotea,umerudi Tena!Yaani hata ifike mwaka 2025 na Bado Kyiv ikaendelea kusimama,Cha malengo yafikiwe!Tangu ule msafara wa km 40 wa vifaru ugeuzwe vyuma chakavu,hakuna kitu nitawaelewa Urusi kuhusu Kyiv.Tutafika hadi December na Kyiv itakuwa imesimama imara.
Hii sentensi ya mwisho ungeiandika kwa herufi kubwa. Kyiv haitaanguka.Tangu ule msafara wa km 40 wa vifaru ugeuzwe vyuma chakavu,hakuna kitu nitawaelewa Urusi kuhusu Kyiv.Tutafika hadi December na Kyiv itakuwa imesimama imara.