Naona unabwatuka tu hapa,uko mis informed unadandia dandia tu mada!Nimekwambia weka link au source ya hiyo habari Putin alitangaza siku 3,au hiyo ya Miezi 6!
Naomba Huo ushahidi wa Ukraine kupewa Long range missiles zinazoweza kufika Moscow!
US mwenyewe alisema hatotoa long range missile,wewe hiyo taarifa umeitoa wapi?
Eti bajeti imeisha,kumbe kweli napoteza muda Kwa kilaza!Hiyo bajeti kuisha ni Kwa mujibu wa nani?Maana mfano Kwa mafuta na gas,Sasa hivi Russia ndio anapata Hela nyingi zaidi ya kabla ya vita!Huko Ulaya na Marekani wananchi ndio wanalia Kwa inflation!Sasa wewe unaongea porojo gani?
Ukraine anasaidiwa na mataifa zaidi ya 30 Kwa Silaha,manpower, training na intelejensia lakini Bado anachapika field!Bila msaada wa mataifa hayo 30,operation ingekuwa imeisha!
Us aliingia Syria Ili ampindue Assad,baada ya Russia kuona hivyo naye akaingia kumsaidia Assad!Tuambie mwaka wa ngapi huu US Bado anambwela?
Naona niachane na wewe nimegundua napoteza muda tu!