Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

unapotoa mifano angalia na zama za matukio husika , kwa kipind hiki ni risk sana kumuua huyo mama maana anaeza kuwa chambo ya kuwasaka hao mnaohisi watamsaka bibie , ukiwa msomaj bila reasoning hutolewa vingi , so ni ngumu sana Urusi kutuma yeyote kwenye mipaka ya nchi za west na usitegemee huyo dada atakuwa anaishi Ukraine kwa kipind hiki , na ndio maana katokea Estonia nchi mshirika wa NATO ili Urusi ajichanganye tu , kiufupi Kila nchi huja na ripoti kila baada ya matukio makubwa na hiyo ripoti haimaanish wataeza mkamata , Huyo dada anaielewa Urusi zaid yako na ndio maana kafanikiwa kuunda plan na akafanikiwa kutoka nje ya Urusi , mbali na yote ungekuwa timamu lazima ungeelewa kuwa ndani ya URUSI yapo mashushu ambayo yamemsaidia huyu dada kwa mambo mengi sana , na ubora wa Urusi ungeanzia kweny kuwashika hawa mashushushu kama hawawez bas hawatoweza mshika huyo dada
Ninaamini kabisa sehemu kubwa ya vyombo vya usalama vya Russia havihitaji kuendelea na hii vita.
 
Colonel Macgregor wa jeshi la Marekani atoa neno kuhusu Ukraine kufanya kitendo cha kigaidi na kidhaifu kuua mwandishi wa habari Urusi kwa kumtegea bomu

SmartSelect_20220823-213337_Chrome.jpg
Screenshot_20220823-213512_Chrome.jpg
 
Wewe ndiye utumie akili vizuri,Ulisema sio kwamba walikuwa hawajui alipo ila walikuwa wanatafuta sababu ya kubaki!Mimi nikajenga hoja kwamba US haitaji sababu ya Osama ila abaki afgan!Kama angempata na kumuua hata mwezi wa 1 basi angetafuta tu sababu ya magumaahi kubaki Ili aendelee kupora!
Nakazia kwamba walikuwa hajui alipo na walipompata wakamuua!Yaani Bush ajue Osama alipo halafu akaushe eti asubiri sifa ipate regime ya Obama!Hauko serious
natunza comment yako , kuna muda mnapenda kubisha hata vitu mnavyojua ni ukwel
 
Wangeenda kuua walau top ranking officer ningekuelewa,ila unaenda kumuua mtu asiye na ulinzi,mwandishi wa habari Tena mwanamke,halafu unataka credit na kusema Russia wazembe!Sikuelewi
kwan Putin anaua watu wenye ulinzi huko Ukraine ?
 
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.

Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya Vovk akiingia Urusi na mtoto wake wa kike (teenager), akiingia pia kwenye jengo alilokuwa akiishi Darya (mwandishi wa habari aliyeuawa), kisha ikimuonesha akiondoa kwa haraka mno mara baada ya bomu kulipuka na kumuua Darya.

Binti huyo muuaji aliingia Urusi July 23 akiwa na gari lenye number plate ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk (ili kukwepa kuchunguzwa zaidi), alipokuwa Urusi akabadili na number plate ya Kazakhstan, nchi rafiki ya Urusi. Baada ya shambulio, siku ya jumapili (19 August) akaondoka Urusi kuelekea Estonia akitumia number plate ya Ukraine. Binti huyo ni askari ktk kikosi cha neo-Nazi Azov Regiment.

Ikumbukwe kuwa Ukraine iliwahi kujitenga haraka haraka na shambulio hilo baada ya kutokea.
====

Hi tech investigation
 
ktk ulimwengu wa ujasusi,information is power. kitendo cha kumbaini huyo binti ni ushindi mkubwa kwa shirika la ujasusi la urusi(FSB).

ni jambo ambalo mamlaka za ukraine zisingepemda lifahamike, ila ndio basi tena ishafahamika.

tusibiri tuone jambo gani litafanywa na majasusi wa russia ktk kulipiza, bila shaka watakalofanya litakuwa na mshindo mkubwa, wakati utaongea.
 
Hahahaha acha wajipe Moyo,huyo usikute ss hv yeye na familia yake washahamishiwa USA na watapata Ulinzi wa CIA na FBI kwa maisha Yao yote. Sio rahisi kama unavyodhani

hivi unajua unachokiongea wewe?.
huyo binti kashaiweka rehani familia yake yote.

hao CIA watawahamishia marekani baba zake, mama zake, wajomba zake na mabinamu zake wote wanaoishi ukraine?.
 
kwan Putin anaua watu wenye ulinzi huko Ukraine ?
Mimi nazungumzia jambo lingine na wewe unazungumzia Nini?Jamaa una Kichwa kigumu kuelewa logic ya argument!Mimi nasema,kujipenyeza Russia na kwenda kumuua raia sio jambo la ajabu ambalo eti ndio mnafanya kiwe kigezo Cha kuhoji uwezo wa FSB!
Hoja yangu Iko hapo!
 
unapotoa mifano angalia na zama za matukio husika , kwa kipind hiki ni risk sana kumuua huyo mama maana anaeza kuwa chambo ya kuwasaka hao mnaohisi watamsaka bibie , ukiwa msomaj bila reasoning hutolewa vingi , so ni ngumu sana Urusi kutuma yeyote kwenye mipaka ya nchi za west na usitegemee huyo dada atakuwa anaishi Ukraine kwa kipind hiki , na ndio maana katokea Estonia nchi mshirika wa NATO ili Urusi ajichanganye tu , kiufupi Kila nchi huja na ripoti kila baada ya matukio makubwa na hiyo ripoti haimaanish wataeza mkamata , Huyo dada anaielewa Urusi zaid yako na ndio maana kafanikiwa kuunda plan na akafanikiwa kutoka nje ya Urusi , mbali na yote ungekuwa timamu lazima ungeelewa kuwa ndani ya URUSI yapo mashushu ambayo yamemsaidia huyu dada kwa mambo mengi sana , na ubora wa Urusi ungeanzia kweny kuwashika hawa mashushushu kama hawawez bas hawatoweza mshika huyo dada
Nafikiri tujijengee mazoea/utaratibu wa kufanya utafiti kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala yanayobeba dhima kubwa!

Kama ilivyo kwa CIA huachia nyaraka kwa kila baada ya miaka kadhaa jinsi walivyodili na masuala mbalimbali halikadhalika kwa Russia zipo nyaraka zinazoelezea walivyodili na masuala tofauti na nyingi huelezewa na wapinzani wake.

Mantiki ni nini? Mantiki ni kwamba haya masuala hayahitaji mawazo (opinion) ya mtu bali historia inathibitisha na yapo kama yalivyo! Kwamba ukifanya A tambua bado herufi nyengine zipo na utaguswa nazo!

Hivyo ni busara zaidi kujijengea utaratibu wa kusoma ama kujipa shida kidogo kutafuta kile ambacho baadhi ya wadau wanachokiwasilisha.

Na binafsi si mdau wa kupenda mabishano, ni mdau ninaependa kueleweshana. Pale ambapo ubishani ukiwa mbele dhidi ya kueleweshana nimejifunza kurudi nyuma.
 
View attachment 2332931

Asante Mkuu kwa kuweka vielelezo, tena habari imenukuliwa na the "Los Angeles Times"...
Tatizo la wa Tanzania tuna ufahamu mdogo juu ya masuala mbalimbali. Hii yote inasababishwa na ufinyu wa taarifa ambao unasababishwa na uvivu wa watu kutotaka kujihangaisha kusoma.

Mwisho wa siku inazalisha watu wengi wenye uelewa mdogo sana juu ya mambo tofauti tofauti. Mtanzania unaweza kumkuta anakomaa na jambo anaona ni uzalendo kumbe uelewa ni mdogo sana.
 
Tukiweka ushabiki pembeni kuna kitu hakipo Sawa

Kwanza,kwann Baba abadilishe gari dakika za Mwisho

Pili,imekuaje FSB wamesolve hiyo case haraka hivyo,yaani ndani ya saa24 case ngumu kama hiyo iwe solved

Tatu,Ukraine itafaidika na nn iwapo kweli wameamua kumuua huyo bidada au walikua wanataka tu kutuma message kwamba na Sisi tunaweza kukufanyizia mpaka nchini mwako

Nne,Kwanini huyo agent aache kitambulisho chake hotelini?!

Hapa kuna kitu hakipo Sawa,ngoja tuupe muda nafasi kitajulikana tu
Maswali niliyojiuliza Jana,Leo na Gravitas wameujiuliza pia

Baada ya kupotea,umerudi Tena!Yaani hata ifike mwaka 2025 na Bado Kyiv ikaendelea kusimama,Cha malengo yafikiwe!
US Kapigana Afgan miaka 20 lakini hajafanikiwa na kaondoka Kwa aibu!

Unadhani unapata medali ya dhahabu kukaa hapa JF 24/7.Mkuu kuna maisha mengine nnje ya JF wewe kama umeinvest muda wako wote hapa its good for you,wengine tuna zaidi ya miaka 10 tupo hapa so tunajua hakuna medal utapata kwa kukesha JF.
Narudia tena tangu ule msafara ugeuzwe kuwa chuma chakavu kumbe Jeshi la Russia ni kina Mandonga tu
 
Wengine starehe yetu ni hapa JF,yaani kila nikipata break lazima nichungulie habari za humu!So relax,hakuna anayetegemea medani!
Kabla ya kujisajili JF,nilikuwa msomaji tu Kwa zaidi ya mwaka kama sikosei!so do the math!

Jeshi la Urusi lingekuwa hivyo usemavyo,US na Misukule yake 30 ingekuwa ishaingia front line!
US wanajua Russia sio Kosovo,Iraq,Afgan NK!Wewe Pro NATO wa buza ndio unaiona hivyo Russia!
 
Umejiunga 2014,mwaka mmoja tu nyuma ulikuwa msomaji kwa hiyo umeijua JF 2013.Wenzio tumeijua JF tangu inaitwa Jambo Forum way back 2006 mpaka inaitwa Jamii Forum nadhani hata ulikuwa huijui bado [emoji3].Kwa hiyo kaa kwa kutulia wenyeji tumekuwepo kitambo kabla yako,enzi hizo hadi tunaichangia JF ikue.Kwa hiyo it's non of your B'ness mtu akipotea hapa Jukwaani.

Back to the topic,Russia was overrated na kwa vita hii imedhihirisha uwezo wake mdogo Kijeshi compared na ilivyodhaniwa.
 
Hujui hata kusoma btn lines!Ninachosema miaka 9 nimekuwa mdau wa JF,so Nina uzoefu wa kujua kuwa hakuna medani zaidi ya kuongeza wigo wa taarifa na kubadilishana mawazo!Kwa akili Yako ukahisi natamba kwa kuwa JF zaidi Yako😃,na humu JF tunajuana Kwa ID!Kuna ID ambazo huwa zinasumbua sana mpaka unajikuta umezikariri Kwa kuziona mara Kwa mara!Ya kwako ni mojawapo niliyoiona mara Kwa mara humu mpaka nimeishika!Ulipojitokeza,nikakumbuka sijaiona muda mrefu,ndio nikasema ulipotea!
So kama umekuwa offended na such a minor issue,then that's your problem!

Kwenye hoja:Nani alimuoverate Russia?Nani kamuweka kwenye hiyo nafasi ya kijeshi?Je vigezo ni unavijua?
Russia angekuwa anapigana na Ukraine peke yake,hii vita ingekuwa imeisha!Ukraine anasaidiwa na zaidi ya mataifa 30 kuanzia silaha,mafunzo,man power na Intelejensia!Halafu Bado unamdharau Russia?
mfano Syria,Us aliingia Ili amwondoshe Assad,Russia akaingia kuzuia Hilo!Leo mwaka wangapi US amefeli kutimiza azma yake?
 
Back
Top Bottom