Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

Sidhani kama inavyo aminishwa na watu kwamba ni wale majasusi wabobezi wa kazi.Kama ni kweli kuna watz wamekamatwa wakifanya ujasusi Malawi basi nafikiri ni wale vijana wetu wa SUUK walikua field.
Hao hawawezi kufanya ujinga huo labda wale wanaosemaga unajua Mimi ni Nani?
 
When one body exerts force on a second body, the second body simultaneously exerts a force equal in magnitude and opposite in direction on the first body.
Ngoja nikajaribu hii theory kwenye papuchi nione kama kweli
 
Wewe ndio mwenye mawazo mfu Kwa kuifananisha Israel na Malawi poor perception
Ndugu yangu wapi nimeweka mfanano wa miloja kwa moja wa malawi na israel mimi nimejaribu kuweka nadharia ya ukubwa wa nchi ya malawi na Tanzania pamoja na ukubwa wa israel na nchi za kiarabu amabo ni mahasimu wake alafu pia unamuunda rate vipi malawi katika ushiriki wakivita wakati nikati ya washiriki wa peace mission za UN kupitia SADEC pale Congo
 
Ukiwa hujuwi jambo kaa kimya usipende kujiandikia tu. Jaribu kushirikisha ubongo tafadhali. Usiandike upuuzi wa ivo. Unafikiri wewe unawaza zaidi ya watanzania wengine.? Jaribu kujadili kwa umakini mtanzania mwenzangu
Wewe unajua nini? Unachojua kushinda mimi basi kiweke hapa ili tukuone wa maana. Tunafahamu sana usituone tukiwa kimya kwa key board hapa. Light ungepata kuniona ndipo ungeshangaa!!!!!!!
 
Ingekuwa vizuri kama ungejikita kwenye hoja kuliko kumshambulia mtu, punguza chuki mzee
 
Sawa mkuu bt Malawi wako chini sana compare na sisi , honestly naweza sema for everything,hata hyo issues za majasusi I think ni propaganda.
 
Mi siamini kama hao ni majasusi wa kwetu labda wawe wakwao wenyewe af watuache kabisa Sisi sio wajinga wajinga Tz taifa kubwa kiusalama sio ya kutujaribu tutawararua tena wajue kabisa intelligence yetu Iko makini sana sio ya mchezo mchezo
 
Sawa mkuu bt Malawi wako chini sana compare na sisi , honestly naweza sema for everything,hata hyo issues za majasusi I think ni propaganda.
Mpaka sasa sijawa upande wowote binafsi kutokana na tension iliopo kwelu malawi sio strong kama sisi lakini kumbuka ameanza kutuchokonoa toka enzi za utawala madhubuti kabisa ambao haujawahi kutokea wa mwalimu Nyerere!!pia kunamsemo usemao never underestimate your enemy
 
Sasa majasusi gani wanatembea kwa pamoja .
.au masomo waliyofundishwa hawakuzingatia ..ujasusi mission kama iyo inabid mtu ajifanye kuomba kaz hapo hapo na kujifanya mmalawi wa asili
....au ndio huwa hawasomi mossad wanavofanya kazi
Kaka usitie ujinga watu, haiwezekani wewe ukajua zaidi yao, umeambiwa ni wabobezi.
 
Majasusi gani hao wanakamatwa kama kumbikumbi? Malawi waache propaganda.
 
Nadhani kazi hii ukikamatwa basi inabidi ujibebe! Kwani inawezekana hata yule aliyekutuma hiyo kazi akasema hakufahamu!
Comment yako imefanya nikumbuke thread ya The bold kwamba ukikamatwa kwenye mambo kama haya, hata aliyekutuma anakukana kabisa.
 
Source ya habari hii 'The Citizen' 'Mwananchi' siyo ajabu sana kwa wao kuandika hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…