Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Posts
15,692
Reaction score
23,038
Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali

Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla

Taarifa yaendelea na BBC

Australia's government and institutions are being targeted by an ongoing sophisticated state-based cyber hack, Prime Minister Scott Morrison says

Mr Morrison said the cyber attacks were widespread, covering "all levels of government" as well as essential service providers and businesses

He declined to identify a specific state actor, adding no major personal data breaches had been made.

The activity has been increasing in frequency over many months, he said.

He said cyber experts had identified it as a state hack "because of the scale and nature of the targeting and the trade craft used".

When asked whether that country had been identified, Mr Morrison said he would not make "any public attribution".

"There are not a large number of state-based actors that can engage in this type of activity," he told reporters on Friday.

He stressed that similar "malicious" activity had been seen in jurisdictions globally, making it not unique to Australia.

Cyber intelligence experts have long linked various hacks in Australia to China.

They say China is one of the few states, along with Russia, Iran, and North Korea, which have the capacity for such attacks - and are not allied with Australia.

"There's always simmering tensions between Russia and China so really it comes down to those being the key actors they [Australia] would be referring to," expert Joshua Kennedy-White told the BBC.

Source: BBC
 
Na hawa sindo walikuwa wanazozana na china!! Na china anamshuku Australia kwa maana yaonyesha alitoa taarifa fulani za china ambazo zilisadiki kuwa covid 19 chanzo ni mchina!.. ndio maana marekani akafikia hatua ya kuita "china virus".. Ni zamu ya Australia kupimwa mbavu sasa..
Ukiishi ki digital ukumbuke na manual maana teknolojia ya sasa unaweza kukalishwa giza ama ukakosa maji kisa mifumo yote inatumia computer!.. zikihakiwa tu watu hawaogi..😅
 
Australia hawajakomaa bado upande wa Infosec hivyo nchi zilizoendelea zaidi kwa hiyo mifumo ni threat kwao na wanawaattack.
Sio rahisi kusikia nchi kama U.S imepata cyber attack kutoka nje.
 
Na hawa sindo walikuwa wanazozana na china!! Na china anamshuku Australia kwa maana yaonyesha alitoa taarifa fulani za china ambazo zilisadiki kuwa covid 19 chanzo ni mchina!.. ndio maana marekani akafikia hatua ya kuita "china virus".. Ni zamu ya Australia kupimwa mbavu sasa..
Ukiishi ki digital ukumbuke na manual maana teknolojia ya sasa unaweza kukalishwa giza ama ukakosa maji kisa mifumo yote inatumia computer!.. zikihakiwa tu watu hawaogi..😅

Australia huwa anacheza kama tarumbeta ya mmarekani kwenye eneo la Asia Pasific.

Hata hivyo kwa Australia haya ni madai yao tu huenda hakuna hicho kitu kabisa.

Wanafanya kampeni kuwasaidia wamarekani kuwachokoza wachina.
 
Australia hawajakomaa bado upande wa Infosec hivyo nchi zilizoendelea zaidi kwa hiyo mifumo ni threat kwao na wanaattack kirahisi.
Sio rahisi kusikia nchi kama U.S imepata cyber attack kutoka nje.

Hapana mkuu.

Australia wapo vizuri kwenye masuala ya ujasusi na mitandao.

Wana idara nyingi za ujasusi na kuna ile yaitwa ASD yaani Australian signals directorate inayoshughulikia ujasusi wa njia za mawasiliano.

Pili, Australia ni moja ya nchi tano zinazounda kitu chaitwa Five Eyes intelligence partners ambapo nchi tano zimo humo kuitazama dunia.

Nchi zingine ni New Zealand, UK, Canada, na baba lao USA.

Ukumbuke kihistoria hawa wote ni ndugu moja.

Hizi nchi zinaitazama dunia kama utazamapo kiganja chako.

Hivyo Australia inaweza kuwa inatumia hichi kisingizio cha kudukuliwa ili kutafuta sababu za kubinya zaidi matumizi ya internet na mitandao.
 
Australia hawajakomaa bado upande wa Infosec hivyo nchi zilizoendelea zaidi kwa hiyo mifumo ni threat kwao na wanaattack kirahisi.
Sio rahisi kusikia nchi kama U.S imepata cyber attack kutoka nje.
Hapa mkuu nakupinga,
 
Kiswahili na kiingeleza vimetofautiana
Hapana ipo sawa.

Habari hii imeandikwa na vyombo mbalimbali vya habari duniani.

Hivyo nimetafuta headline na mwanzo kwa kufupisha madai ya Australia kwamba wamedukuliwa.

Ila nimeweka moja ya nyanzo ambacho ni BBC na nikasema uendelee kusoma.
 
Hapana mkuu.

Australia wapo vizuri kwenye masuala ya ujasusi na mitandao.

Wana idara nyingi za ujasusi na kuna ile yaitwa ASD yaani Australian signals directorate inayoshughulikia ujasusi wa njia za mawasiliano.

Pili, Australia ni moja ya nchi tano zinazounda kitu chaitwa Five Eyes intelligence partners ambapo nchi tano zimo humo kuitazama dunia.

Nchi zingine ni New Zealand, UK, Canada, na baba lao USA.

Ukumbuke kihistoria hawa wote ni ndugu moja.

Hizi nchi zinaitazama dunia kama utazamapo kiganja chako.

Hivyo Australia inaweza kuwa inatumia hichi kisingizio cha kudukuliwa ili kutafuta sababu za kubinya zaidi matumizi ya internet na mitandao.
Nadhani unachanganya mambo hivi.Hebu soma hii article hadi mwisho.Bado wanategemea immigrants kwenye haya mambo.

How Australia's 457 Visa Changes Will Impact Cybersecurity
 
Back
Top Bottom