Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

Australia hawajakomaa bado upande wa Infosec hivyo nchi zilizoendelea zaidi kwa hiyo mifumo ni threat kwao na wanawaattack.
Sio rahisi kusikia nchi kama U.S imepata cyber attack kutoka nje.
Wew mmarekani mweusi vp marekani ilivamiwa na China wakalalamika China ikatoa data kwa takribani miaka minne wamarekani wakivamia China ule ukamalizwa namna
 
Na hawa sindo walikuwa wanazozana na china!! Na china anamshuku Australia kwa maana yaonyesha alitoa taarifa fulani za china ambazo zilisadiki kuwa covid 19 chanzo ni mchina!.. ndio maana marekani akafikia hatua ya kuita "china virus".. Ni zamu ya Australia kupimwa mbavu sasa..
Ukiishi ki digital ukumbuke na manual maana teknolojia ya sasa unaweza kukalishwa giza ama ukakosa maji kisa mifumo yote inatumia computer!.. zikihakiwa tu watu hawaogi..😅
Friji nazo zinaelekea huko hatari sana
 
Cyber security inazidi kupaa juu...
 
Anga ngumu sana kujilinda

Anga ni rahisi sana kuilinda endapo watoa ushirikiano wa kindugu.

Kama hafahamu mifumo ya ulinzi wa anga letu mingi imejengwa na wataalam wa uchina.

I stand to be corrected.

Ukimpa mkandarasi wa kigeni akujengee miundombinu basi hapohapo unaweka vijana wako wajifunze ili kurudufu ile master copy ambayo wewe baadae aibadilisha na kuweka nakshi za kiusalama uzitakazo.

Ndo maana mataifa makubwa yakivamia nchi fulani kwa uelewa wa miundombinu yake huanza kwa kubomoa kwa makombora miundombinu hiyo.

Kwasababu wanayo michoro.

Hapa pia, I stand to be corrected.

Lakini "strategic installations" zote mara nyingi hujengwa na nchi husika ili kuzuia saboitage ikiwa zitajengwa na wageni.
 
You correct to some extent but ulimwengu wa computer shida yake watu wanaumiza vichwa kila siku.

Kitu kilichigundulika mwaka Jana mwakani imeshapitwa na wakati watu wa IT kila siku wanajifunza mapya na hapo ukisunzia kidogo ymeachwa mbali

Sasa shida ya pili kuagiza maprogramu zilizichongwa kutoka nje ni ratizo lingine wenzako wanaweka bleach mule. Mfano antivirus ni moja ya program zinazotumika kufanyia serikali mbalimbali duniani

Tatu hardware tunazotumia zote zinatoka nje kwa hiyo mlee kuwekwa security device ni simple sana semicinductors industry ina vitu vingi sana na zote ni hatari tupu ndo maana ni vigumu sana kwa sasa kujificha duniani
 
Australia hawajakomaa bado upande wa Infosec hivyo nchi zilizoendelea zaidi kwa hiyo mifumo ni threat kwao na wanawaattack.
Sio rahisi kusikia nchi kama U.S imepata cyber attack kutoka nje.
Vp zile kelele za urusi kuingilia mifumo yao ya uchaguzi hadi Donald akaingia madarakani unaikumbuka?
 
Back
Top Bottom