Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

Australia hawajakomaa bado upande wa Infosec hivyo nchi zilizoendelea zaidi kwa hiyo mifumo ni threat kwao na wanawaattack.
Sio rahisi kusikia nchi kama U.S imepata cyber attack kutoka nje.

Trump alishinda vipi?
 
Mkuu Hawa vijana hawaijui hii kada ya tech vizuri aiseee wanaichukulia pouwaa Sana Kuna meng na meng mazito Sana nilipata certification ya cybersecurity baada ya kuingia deep Sana kwa baadhi ya mambo lakin kila leo silal kwa ajili ya kutafuta mambo mapya
 
Cyber ina layers nyingi naona watu wanaichukulia kirahisi.Mimi nilitaka kuingia huku upande wa penetration testing ila nikaghairi baada ya kuona multiple layers.Yaani kwanza nijue Networking nje ndani,System Administration haya ma operating system na Programming nifahamu.Halafu hayo ma certifications sasa ambapo kwa beginner uwe nayo kama matatu manne hivi( A+,Network+,Security+).Hapo kwenye cyber unakuwa hujaingia bado inafaa upate ile certificate yao ya CISSP na ni lazima.Hapo ndo unakuwa kama intermediate. Hapo sasa ni wewe uanze kupambana uingie professional level kwa kuchukua certs nyingine kama CISA,SANS n.k.Mimi kwa mfano ningeendelea na ndoto ya kuwa penetration tester ingefaa nichukue na cert ya OSCP ndo nitambulike nimequalify hiyo kazi.Mwanangu haya mavitu ni soo ila ukifika hadi hiyo level umeula mzee.
Kuna jamaa alikuwa anahudhuria hadi conference zao huko Los Angeles California.Certs alikuwa nazo hivyo alivyoapply haikuwa shida kukubaliwa.Sahivi yupo London ni Chief Security wa kampuni fulani analipwa £500 per day!
 
Ndio maana yuke jamaa aliachana nayo akaamua awe stripper (not a good choice).


 
Waliamka pale alipotekwa Waziri mkuu alipokuwa anaongelea siku za likizo.. Hakuna anajua yuko wapi aidha hai au amekufa.. Lilikuwa pigo kubwa la kushangaza lkn wapenye zaji wakaimulika China...
 
Dah! Nimekubali Mzee hiyo kitu ndo kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…