Tetesi: Majasusi wamnyima Trump siri nyeti

Tetesi: Majasusi wamnyima Trump siri nyeti

Kui ndiyo matatizo ya nchi kuongozwa na mwenye ufinyu wa akili na uwezo mdogo wa kuendesha nchi. GOP wanajitahidi kumlinda na scandals zake bila kuona kwamba itakula kwao. Kuongoza biashara na kuongoza nchi ni vitu viwili tofauti kabisa. Ataivuruga nchi huyu kama wasipomdhibiti mapema.

It's bizarre!, when a president can not be trusted.
Wonder who else they can trust.

GOP wana kazi, saa hii si wangekuwa wanapeta na policies wanazo taka na huo uwingi wao in the house but I bet the boss is making the job so hard for them.
Halafu wanajitahidi sana kumlinda, I think umeona the way some of them, have tried to play down Michael Flynn's flub.
 
Thanks BUT No THANKS.

Unachosema ni kweli kabisa kazi yao imekuwa ngumu mno kutokana na approach ya huyu mtu na pia baadhi ya wapiga kura kuanza kuwastukia na hata kuwazomea. Hakuna kilichonikera mimi hadi sasa kama hili la kuwaruhusu wenye matatizo ya kiakili na wao waweze kununua bunduki bila kuulizwa na yeyoye yule. Sijui hawa GOPs kama wana akili nzuri kwa kweli. Mteule wa 45th machale yamemcheza kaugomea uteuzi.

Na huyu aliyekuwa nominated kwenye SC sidhani kama atapata kura 60 hivyo nafasi hiyo itaendelea kuwa wazi kwa kipindi kirefu labda kama GOP watakuwa tayari kwenda nuclear and lower the votes needed for SC from 60 votes to 51 votes.

(CNN) Ret. Vice Adm. Bob Harward has turned down President Donald Trump's offer to be national security adviser, sources told CNN Thursday.
A friend of Harward's said he was reluctant to take the job because the White House seems so chaotic. Harward called the offer a "s*** sandwich," the friend said.
Earlier this week, Trump fired Michael Flynn as national security adviser. Trump has named Ret. Lt. Gen. Joseph Keith Kellogg, who worked under Flynn until his resignation, the acting national security adviser.
A senior Republican familiar with the process said "a question of clarity regarding the lines of authority" was central in Harward's decision.
"I wouldn't call it a disagreement as much as questions that could not be resolved to his comfort level," the Republican said.

White House press secretary Sean Spicer, responding to reports earlier in the day that Harward was out of the running, said he was unable to confirm and was "still not entirely sure that's true." A White House official later told CNN Harward turned down the role for financial and family reasons.

Harward says no to national security adviser role - CNNPolitics.com

Katika hali isiyokuwa ya kawaida nchini Marekani. Jamii ya Kijasusi ya Marekani imeamua kumpa kwa vipimo ripoti za kijasusi Rais wa Marekani Donald Trump.

Habari zinasema kumekuwa na vita baridi kati ya Ikulu ya White house na jamii ya kijasusi ambayo Trump amekuwa akiilaumu hasa baada ya KUVUJA kwa maongezi ya Mteule wake na mshauri wake mkuu wa mambo ya usalama bwana Mike Flynn aliyelazimika kujiuzulu baada ya mazungumzo yake na balozi wa Urusi KUVUJWA hadharani.

Trump amekuwa akilaumu idara hizi kuwa ZINAVUNJA sheria kwa KUVUJISHA maksudi habari nyeti/classified za serikali kwa vyombo vya habari.

Pia jamii hii ya kijasusi imeanzisha uchunguzi kuhusu baadhi ya wasaidizi wa Trump ambao nao huenda wamefanya ama wamekuwa wakifanya mawasiliano na maafisa wa Urusi.

Hili limemkasirisha Trump ni kama vile wanamtafuta kuchafua ili aachie uongozi..

Nao maofisa wa kijasusi wanaogopa kumpa Trump SIRI ZOTE wakihofu tabia yake ya KUMSIFIA Vladimir Putin rais wa Urusi kama INAYOWAKERA.

Habari zinasema katika breafing ambazo hupewa rais kila siku WAMEZIPUNGUZA hasa zile zinazohusika na jasusi unaofanywa dhidi ya SERIKALI ZA KIGENI.

Kuna madai kuwa hawampi ushirikianao kama vile VYANZO ama NAMNA wanavyokusanya habari kutoka mataifa mbali mbali wanayoyafanyia ujasusi.

Moja ya wanabunge wa California aliyekatika kamati ya Bunge ya UJASUSI /Intelligence committee wa chama cha Democrat Adam Schiff amenakiliwa akisema kumekuwa na malalamiko ndani ya jamii hiyo.

Naye Trump amaeamua kwenda kwa wananchi ili awe karibu nao. Hivyo amaeamua kufanya mkutano wa hadhara katika mji wa Meliboun utakaohudhuriwa na watu walio na TIKETI maalum tu. Sijui kutoaminiana kati ya Trump na Jamii hiyo utafika wapi?
Chanzo: WALL STREET JOURNAL
MKUU HII TAARIFA YAKO KABLA YA KUPOST UNGEIFANYIA EDITING KIDOGO KATIKA UANDISHI WAKO.

CHA KWANZA HAKUNA KITU KINACHOITWA JAMII ILA ULICHOTAKIWA KUSEMA NI SHIRIKA LA UJASUSI .

CHA PILI ULITAKIWA UZAME IN DEEP NI SHIRIKA GANI LA UJASUSI AMBALO LIMEMNYIMA TRUMP HIZO TAARIFA KAMA NI NSA,CIA, .

CHA TATU UNGEWEKA SOURCE YA TAARIFA UMEITOA WAPI KAMA NI BBC,CNN,ALJAZERA, STAR TV, TBC AU REDIO MBAO AU UMEISIKIA KIJIWE CHA KAHAWA NA HII INATOKANA NA MATUMIZI YA NENO JAMII kijasusi BADALA YA SHIRIKA kijasusi.

kwaiyo katika hii taarifa yako jitahidi kuirekebishaa
 
Dah... Utawala bila taarifa za kijasusi ni kama kipofu aliyepotea njia [emoji12] [emoji12]
 
Huyu si alisema anajua kila kitu kushinda watu wote sasa anawahitaji wanini hawa. Jamaa wameshamjua kawa "kompromat" wacha wamuendeshe.
 
Ret. Vice Adm. Bob Harward has turned down President Donald Trump's offer to be national security adviser, sources told CNN Thursday. A friend of Harward's said he was reluctant to take the job because the White House seems so chaotic..

White house (and the President himself..) seems so chaotic. Hili ni dongo na aibu kubwa kwa Rais Trump.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Thanks BUT No THANKS.

Unachosema ni kweli kabisa kazi yao imekuwa ngumu mno kutokana na approach ya huyu mtu na pia baadhi ya wapiga kura kuanza kuwastukia na hata kuwazomea. Hakuna kilichonikera mimi hadi sasa kama hili la kuwaruhusu wenye matatizo ya kiakili na wao waweze kununua bunduki bila kuulizwa na yeyoye yule. Sijui hawa GOPs kama wana akili nzuri kwa kweli. Mteule wa 45th machale yamemcheza kaugomea uteuzi.

Na huyu aliyekuwa nominated kwenye SC sidhani kama atapata kura 60 hivyo nafasi hiyo itaendelea kuwa wazi kwa kipindi kirefu labda kama GOP watakuwa tayari kwenda nuclear and lower the votes needed for SC from 60 votes to 51 votes.

(CNN) Ret. Vice Adm. Bob Harward has turned down President Donald Trump's offer to be national security adviser, sources told CNN Thursday.
A friend of Harward's said he was reluctant to take the job because the White House seems so chaotic. Harward called the offer a "s*** sandwich," the friend said.
Earlier this week, Trump fired Michael Flynn as national security adviser. Trump has named Ret. Lt. Gen. Joseph Keith Kellogg, who worked under Flynn until his resignation, the acting national security adviser.
A senior Republican familiar with the process said "a question of clarity regarding the lines of authority" was central in Harward's decision.
"I wouldn't call it a disagreement as much as questions that could not be resolved to his comfort level," the Republican said.

White House press secretary Sean Spicer, responding to reports earlier in the day that Harward was out of the running, said he was unable to confirm and was "still not entirely sure that's true." A White House official later told CNN Harward turned down the role for financial and family reasons.

Harward says no to national security adviser role - CNNPolitics.com

Mpaka ana turn down kazi, chezea Trump...lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijui mnapozungumzia jamii ya kijasusi mnazungumzia nini zipo zaidi ya Intelligence Agency 17 ndani ya US pia zipo zle zinajulikana kama "Big Five" (+1) kutokana na ukubwa wa majukumu yao na utendaji wao wa kazi kulinganisha na vyombo vingin ambazo ni FBI,CIA,Homeland Security,NSA na Secret Service lakini Intelligence Agency zote zikiwamo hizo
"Big Five" (+1) zote zinareport kwa Office of the Director of National Intelligence ambae office zake zipo Washington Fort Meade, Maryland , U.S. yalipo makao makuu ya NSA

Huyu DNI ( Director of National Intelligence) ndio mwenye security clearance kubwa na yeye ndio anakuwapo ktk kikao cha The President's Daily Brief (PDB) kinachofanyika kila siku saa 07:45 AM ambapo rais anapokea taarifa zote za kijasusi na mambo ya usalama na wanaohudhulia ktk kikao hicho ni Commander-in-chief, VP, Defense secretary na National security adviser so ni lazima Rais apate taarifa zote kila siku juu ya mambo ya ulinzi na Usalama

Kuna mdau hapa jabulani anasema CIA wanaweza kufanya kama walivyofanya kwa J.F Kennedy November 22, 1963
Dallas, Texas, U.S. mifumo ya sasa hivi ni ngumu sana narudia ni ngumu sana kwa Taasisi kufanya hvyo

Mkuu:
Sawa unachokisema, lkn imekuwaje katika mfumo huo huo wa vikao vya PDB sasa iweje hao CIA waje watoe taarifa baadae kuwa warusi wameingilia mfumo wa uchaguzi wa kielectroniki wa Marekani, wakati kuna PDB.
Ni dhahiri kuna mawasiliano duni kati ya Director wa National Inteligence na CIA.
 
Kabla ya 2001 kila taasisi ilikuwa inafanya kazi kivyake na nataka kukwambia NSA walikuwa wanajua juu ya shambulio la kigaidi la Sep 11 kwani walishadukua mawasiliano ya Osama na wale magaidi waliokuwa Yemen mpaka wanakwenda Malaysia na kuingia US na kuweka makazi yao Florida lakini kwa misingi ya kutoshere information kati ya taasisi za kijasusi walishindwa kuwambia CIA na FBI

April 22,2005 DNI ilianzishwa kwa sheria ya National security act ya mwaka 1947 na madhumuni yake yalikuwa kufanya kazi chini ya CIA ktk mambo ya kudeal na ugaidi na office zake zilikuwa Fairfax, Virginia, United States yalipo makao ya CIA

July ,30,2008 rais George W. Bush kwa kutumia Executive order number 13470 akifanya amendments Executive order yake ya April 22,2005 Executive order number 12333 iliyotumika kuanzisha DNI ambayo ilikuja kusainiwa na rais Obama october 22 na kuipatia mamlaka DNI kuchukua overall responsbility ya kusimamia all intelligence community na kuziamisha office zao kutoka Fairfax, Virginia, United States mpaka Washington Fort Meade, Maryland , U.S. yalipo makao makuu ya NSA Sasa kila taasisi ni lazima wareport kwa Director of National intelligence

Kuhusu uchaguzi wa US , Russia hajahusika kwa chochote juu ya uchaguzi wa US zaidi ya kupick side kama ambayo siku zote dunia inafanya pale panapotokea uchaguzi marekani russia walikuwa upande wa Trump kwa sababu ya misimamo binafsi ya trump si ya chama dhidi ya russia ndio wakaona ni mtu anayefaa lakini hakuna kitu walichofanya juu ya hacking kwenye saver za tume ya uchaguzi wa USA na inajulikana trump ameshinda kwa kura za watu wachache crinton ameshinda kwa kundi la kura za wengi na amemzidi trump zaid ya kura milion 2 na kura za watu wachache zinajulikana idadi na mshindi anatangazwa akipata kura zaid ya 270

Obama katika kujitoa kwenye lawama juu ya kushindwa kwa chama chake Dems na juu ya lawama za kambi ya bibi Clinton kwa vyombo vya usalama vya US kama FBI ambavyo Obama ni kiongozi wao kama Rais na ndie vyombo vyote vipo chini yake na ma DG's wake wameteuliwa na Obama sasa inabidi waje na sababu za kusingizia kuwa russia anahusika na kuingilia mifumo ya uchaguzi wa US ambao kwa kura za popular vote bibi Clinton ameshinda na wao walikuwa wanajua uchaguzi huu ni lazima watashinda na walikuwa wamejipanga kuanzia kifedha na kipropaganda na vyombo vyote vya habari vikubwa dunian walkuwa upande wao sasa baada ya kushindwa wamechanganyikiwa na wanataka uchaguzi urudiwe au wanataka ule mzigo wa lawama wawapatie wengine ndo maana wakaja na ushaidi dhaifu sana juu ya Russia kuingilia mifumo yao ya uchaguzi
 
Jamaa analia tu yeye aliona raha wakati clinton anahenyeshwa na wiki leaks acha na yeye akipate
 
Binafsi nilivyosikia Hilary kalia baada ya kushindwa Uchaguzi , moyoni nikabaki na wazo tu la kusubiri vurugu na shuruba atakazozipata Trump kwenye administration yake, na ili kumfunika macho, yeye na mumuwe wakaatend inauguration ceremony, lakini kwa hakika yake Trump atapata tabu sana kuiendesha nchi.
 
MKUU HII TAARIFA YAKO KABLA YA KUPOST UNGEIFANYIA EDITING KIDOGO KATIKA UANDISHI WAKO.

CHA KWANZA HAKUNA KITU KINACHOITWA JAMII ILA ULICHOTAKIWA KUSEMA NI SHIRIKA LA UJASUSI .

CHA PILI ULITAKIWA UZAME IN DEEP NI SHIRIKA GANI LA UJASUSI AMBALO LIMEMNYIMA TRUMP HIZO TAARIFA KAMA NI NSA,CIA, .

CHA TATU UNGEWEKA SOURCE YA TAARIFA UMEITOA WAPI KAMA NI BBC,CNN,ALJAZERA, STAR TV, TBC AU REDIO MBAO AU UMEISIKIA KIJIWE CHA KAHAWA NA HII INATOKANA NA MATUMIZI YA NENO JAMII kijasusi BADALA YA SHIRIKA kijasusi.

kwaiyo katika hii taarifa yako jitahidi kuirekebishaa
Mkuu source imeandikwa hapo chini. Labda ulisoma haraka haraka, Ni Wall Street Journal
Jamii maana yake/ intelligence community comprises of MANY.
Nashukuru.
Next time nitakuwa mwandishi makini. Asante.
 
Mbona jana kwenye debate Trump kaliongelea hilo na kwamba yeye kaliona kwenye NewYork Times
 
Back
Top Bottom