Tetesi: Majasusi wamnyima Trump siri nyeti

Wana ubavu hata wa kumtoa. Kumbuka kennedy alivyotolewa kwa kushadadia ujamaa.
Mkuu ujuwe kuna watu wengine humu hawana kumbukumbu kama hizo...wanajiropokea tu pasipo kujua namna utawala wa marekani ulivyo. Wanadhani marekani inaongozwa kizezeta kama CCM inavyoongoza hapo Tanzania.
 
Mkuu:
Jamii ya kijasusi (CIA) wana uwezo wa kufanya lolote wakati wowote kwa yeyote.
Kumbuka masahibu ya familia ya Kennedy: Kashfa ya Watergate etc.. ,
Mkuu hilo zezeta unalolielekeza hayo mambo haliyajua hata kidogo. Linadhani taifa la Marekani linaongozwa kijuha kama tanzania.
 
Roger Stone, about to go down for conspiring with Russia, throws Donald Trump under the bus
By Bill Palmer | February 15, 2017 | 0
roger-stone-trum-150x150.jpg

Yesterday, four of Donald Trump’s top campaign advisors were publicly exposed as having been caught colluding with Russian intelligence officers during the campaign: Michael Flynn, Paul Manafort, Carter Page, and Roger Stone. We then predicted last night that it would be a race to see which of the four would be the first to flip on Trump to save themselves. Our bet would have been on Manafort or Flynn, but instead it turns out Roger Stone has now publicly turned against Trump on Russia today.

This comes as somewhat of a surprise, because while Flynn and Manafort were hired guns who had no personal allegiance to Donald Trump and have both since been fired by him as scapegoats, Roger Stone is a decades-long personal friend of Trump. And yet it’s Stone who is now publicly calling for the Department of Justice to immediately investigate the matter. In so doing, Stone is essentially calling for the DOJ to investigate himself as well as Trump. The only logical reason for Stone to do this is if he’s planning to flip on Trump and cooperate with the investigation, in order to shield himself from any prosecution. And Stone appears to know all of Trump’s secrets.

Real News. Fake President. lol! I like this one kui.

If Roger Stone is guilty of colluding with Russian intel officials during the campaign, as the US. intel community is now alleging via the New York Times, he can testify as to Donald Trump’s complicity in that collusion. And now he’s calling (source: The Guardian) for such an investigation. Stone also likely knows where all of Trump’s skeletons are buried, on Russia and otherwise, after decades of advising him on various matters, including the early months of his campaign.

It’s worth noting that Roger Stone survived working for Richard Nixon unscathed, and has subsequently manage to survive as a controversial political figure for the past forty years. Perhaps it shouldn’t come as a surprise that Stone would be the first of the four Russia suspects to publicly throw Donald Trump under the bus. Update: Stone has just now professed his innocence during an on-air MSNBC interview. That does not change the facts presented in this article, or Stone’s earlier words on the matter.

Mpaka ana turn down kazi, chezea Trump...lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
“Why should Americans trust you when you accuse the information they receive of being fake, when you provide information that’s not accurate?”

Heheh!, eti atamwaga ubuyu.
 
It's episode after episode, something new and strange every single day from this adm.
Interestingly scandalous.

Kuna mtu alifananisha hii WH na drama za Real Housewives jinsi inavyoendeshwa. Kama ingekuwa ni reality show ingeitwa RDOWH.
(Real Dramas Of the White House)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
If you remember I told you that Hollywood needs to take a rest for the next four years. We have sufficient material from this drama infested WH until 2020.

RDOWH lol!

Hizi naziita porojo tu. Siri zinaenda kwa clearance levels. Ukishakuwa Raisi tayari una one of the highest clearance levels. Intelligence community inapaswa kumuarifu commander in chief ya every detail. Mnaleta tu hadithi za Abunuwasi. The guy already has access to the nuclear codes unadhani kuna top secret kubwa zaidi ya hiyo? Na hao viongozi wa intelligence ni Appointee wa Rais sema wanathibitishwa tu na senate
 
Hizi nazo ni FAKE NEWS kwakuwa mkuu wa idara ya ujasususi CIA ambaye ndiye anawasilisha kila siku taarifa mpya za kijasusi kwa rais ameteuliwa na Trump.

Mkurugenzi wa usalama wa ndani Naye ni Mteule wa rais,

Waziri wa ulinzi James mattis (mad dog) ambaye pentagon iko chini yake naye ameteuliwa na Trump

Ni mjinga asiyefuatilia kwa undani siasa za kimataifa ndio atakaeamini hizi Propaganda....

Mawazo yako unafikiri ukiteuliwa na Rais Marekani basi ndio iwe sababu kila atakalofanya au kusema unakubali tuuu ?? Wamarekani sio hivyo ndugu.Wao Taifa kwanza ndio kila kitu, usilinganishe na Bongo , Ukiteuliwa na Ngosha kuwa Waziri basi chochote akiongea ndio mzee , na kuogopa kutumbuliwa,kama akichemka hata Pence utaona atamgeuka , hakuna kujuana au kuogopana katika kuongoza taifa la Marekani.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Yes mi ni mkenya mwenye uraia wa nchi mbili kama avatar yangu inavyojieleza kwani kuna tatizo?
 
If you remember I told you that Hollywood needs to take a rest for the next four years. We have sufficient material from this drama infested WH until 2020.

RDOWH lol!

Kama nimesikia vizuri, wanasema SNL wanavyo ongeza ku play WH ya Trump, their ratings ni the best ever sasa. Manake hii ni Comedy + Drama.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mawazo yako unafikiri ukiteuliwa na Rais Marekani basi ndio iwe sababu kila atakalofanya au kusema unakubali tuuu ?? Wamarekani sio hivyo ndugu.Wao Taifa kwanza ndio kila kitu, usilinganishe na Bongo , Ukiteuliwa na Ngosha kuwa Waziri basi chochote akiongea ndio mzee , na kuogopa kutumbuliwa,kama akichemka hata Pence utaona atamgeuka , hakuna kujuana au kuogopana katika kuongoza taifa la Marekani.

Madai yao ndo hayo, eti ndio hivyo ameshakuwa Rais. Yaani bora liende.
That's not all. There's a lot more to it.
Sio kama kwetu, tunaona mtu akikwaa madaraka basi kamaliza. Anaanza na kunenepa wakati wenzetu kwa madaraka kama haya mtu anatoa nywele nyeupe.
Ukiongeza mengine ya Pence mbona alienda kinyume na then, candidate Trump, wakati wa scandal kwenye campaign. Angekuwa hajali utaifa angekaa kimya bila kusema chochote cha kumpinga Trump ili asimuudhi.
 
Mm hapo bado sijawaelewa elewa. kwamba trump hawata mpa taarifa za kijasusi za dunia nzima au za urusi tu?

Na kama hizo taarifa hawata mpa rais trump na je hizo taarifa watampa Nani harafu na rais asijue.
 
Nimesikia hiyo Kui wanasema ratings zao hazijawahi kuwa juu hivi kwa miaka 20 iliyopita.

"I'm in wonder of this new president's lack of discipline -- more than that, the lack of a coherent administration."

More Hardball with Chris Matthews:

Back
Top Bottom