T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Israel ipo hapo ilipo ikiwa na Jordan, Syria, Egypt, Lebanon zote zinaidai ardhi. Bado inawafanya inavyojisikia. Hao Hamas wasiishe warudi tena watengeneze magofu mengine hilo ni juu yao.Kuna watu hapa leo wanatuambia tuiangalie ghaza ilivyokua magofu ndio utajua kama usrahell wanashinda vitanana laah
Malengo ya usrahell tokea awali hayakua kuigeuza ghaza magofu tunawakumbusha tu kina T14 Armata na wenzie
Mwezi watisa sasa usrahell wamefanikiwa kuwaokoa magaidi wao 14 ndani ya kigamboni ya palestina itawahitajia miaka 20+ kuokoa magaidi wao walobakia kama wataweza kuwaokoa
Mwezi wa tisa sasa juzi sijui jana tumeona makombora yamerushwa kutokea khano younis kwenda usrahell kwamaana hio hamas ipo na tunayo sana
Wakati wanailaumu russia kushindwa dhidi ya nchi ila mnashindwa iongelea usrahell inayopigana na kata 😀🤗😀
Netanyahu aliwaambia atatoa somo, likiisha wakitaka watapewa somo tena. Israel haijapunguza hata inch moja. Tofauti na Russia ambao wanapigana na jeshi la nchi, Israel haipigani na jeshi ndio maana kila siku mnalalamika watoto, wazee na wanawake kuuwawa sababu Hamas inawaweka mbele huku inajificha mashuleni na hospitalini na kambi za wakimbizi. Hapa unashangilia Israel haipigi, ikipiga unadai imepiga shule na kambi.