Israel ipo hapo ilipo ikiwa na Jordan, Syria, Egypt, Lebanon zote zinaidai ardhi. Bado inawafanya inavyojisikia. Hao Hamas wasiishe warudi tena watengeneze magofu mengine hilo ni juu yao.
Netanyahu aliwaambia atatoa somo, likiisha wakitaka watapewa somo tena. Israel haijapunguza hata inch moja. Tofauti na Russia ambao wanapigana na jeshi la nchi, Israel haipigani na jeshi ndio maana kila siku mnalalamika watoto, wazee na wanawake kuuwawa sababu Hamas inawaweka mbele huku inajificha mashuleni na hospitalini na kambi za wakimbizi. Hapa unashangilia Israel haipigi, ikipiga unadai imepiga shule na kambi.
Hayo ya syria yaache njoo hapa kwa hamas na usrahell
Usrahell anachoweza nikuua watu wasiokua na hatia kama eti kupigana na magaidi kama mnavyodai ndio sababu ya vifo kua vingi nakuuliza tu usrhell ndio nchi ya kwanza kupigana na hao mnaowaita magaidi mbona huko kwengine hatujaona vifo vya aina ya usrahell
Usrahell ndio gaidi namba moja sababu anatumia mpaka chakula dawa nk kama silaha wakati ambao wenzake kina russia walikua wanaambiwa kinyume na sharia za kimataifa
neta paka hakutwambia anaenda kubomoa majengo kama kuna sehemu alisema tuoneshe tupaone neta paka alisema anaenda kukomboa magaidi wao waliotekwa nampaka sasa mwaka kasoro miezi mitatu kakomboa watu wanne hii ni zaidi ya aibu kwa jeshi mnaloliita bora na nchi mnayosema ina intel bora duniani
Pia neta paka alisema anaenda kuifuta hamas juzi tu hamas wamerusha roket ndani ya usrahell kuonesha kua wanaouawa sio wao nandio maana bado wananguvu ya kupambana na usrahell au media group
Mwisho hakuna somo analotoa netapaka zaidi ya kuua watoto kina mama na wagonjwa hospital na hili niliwaambieni tokea mwanzo kua ndio pekee analoweza kufanya hamas usrahell walisema kuna hamas 15k ila leo vifo vinasoma 39k sasa hamas si washakufa wote leo wanapambana na nini
Halafu mimi sijawahi kudai kwamba usrahell anashambulia shule na hospital ila ndio ukweli ulivyo shifaa hospital alisema kuna comand ya hamas akaibomoa akashindwa kuleta ushahidi wa kweli na hataleta mpaka qiyama
Akazusha shutuma UNRWA ni wahusika wa lile shambulio kashindwa kuleta ushahidi na hataleta mpaka qiyama
Usrahell anachoweza kupiga ni majengo na watu wasiokua na hatia nandio maana anashindwa kumaliza hii vita kama angekua anapigana na hamas angekua kawamaliza zamani sana
Nasikia ukanda wa ghaza unaweza kwenda na kurudi hata mara million kwa siku kutumia miguu ila usrahell anashindwa kukomboa hata magaidi wake walotekwa dah
Usrahell ukiisikia kwa wachambuzi wa jf utaona inatisha zaidi ya kifo kumbe bure kabisaaa