Israel ipo hapo ilipo ikiwa na Jordan, Syria, Egypt, Lebanon zote zinaidai ardhi. Bado inawafanya inavyojisikia. Hao Hamas wasiishe warudi tena watengeneze magofu mengine hilo ni juu yao.
Netanyahu aliwaambia atatoa somo, likiisha wakitaka watapewa somo tena. Israel haijapunguza hata inch moja. Tofauti na Russia ambao wanapigana na jeshi la nchi, Israel haipigani na jeshi ndio maana kila siku mnalalamika watoto, wazee na wanawake kuuwawa sababu Hamas inawaweka mbele huku inajificha mashuleni na hospitalini na kambi za wakimbizi. Hapa unashangilia Israel haipigi, ikipiga unadai imepiga shule na kambi.
Ushahidi ulishatolewa kuwa Israel wanashambulia raia kimakusudi.
Ukitaka mkuu tunakuwekea ushahidi.
IDF wamekua wakishindwa STREET BATTLES hasira wakimaliza kwa raia wakawaida.
Mfano bomu lililopigwa kanisani na wanawake wawili waliouliwa na SNIPER.
Unataka kusema Sniper mdunguaji wa masafa ya mbali anashindwa kung'amua adui!?
Hilo laonesha wazi kuwa Israel inaua raia kimakusudi,huko vita za mtaani na Alqassam zinamshinda.
Egypt na Lebanon na Jordan walishauridisha ardhi zao.
Anayemdai ardhi Israel ni Syria(Gollah heights) na Palestine basi.
Hao wa huko juu ardhi zao zilirudi Egypt na Jordan 1973 kwa mtutu wa bunduki na 1978 kwa makubaliano ya Camp David pamoja na Jordan.
Lebanon 2000 kwa withdrawal ya IDF pamoja na 2006 kwa mtutu wa bunduki pale Bint Jubeir.
Israel ni dhaifu,kuna video nyingi zimesambaa ikikimbia cross fire dhidi ya Hamas mitaa ya Gaza iliyobomoka.
Na Gaza kubomoka sio mara ya kwanza 2006,20011,2021 ilibomoka na ikajengwa.