Majenerali wa Jeshi la Isreal wataka vita visitishwe huko Gaza

Israel ipo hapo ilipo ikiwa na Jordan, Syria, Egypt, Lebanon zote zinaidai ardhi. Bado inawafanya inavyojisikia. Hao Hamas wasiishe warudi tena watengeneze magofu mengine hilo ni juu yao.

Netanyahu aliwaambia atatoa somo, likiisha wakitaka watapewa somo tena. Israel haijapunguza hata inch moja. Tofauti na Russia ambao wanapigana na jeshi la nchi, Israel haipigani na jeshi ndio maana kila siku mnalalamika watoto, wazee na wanawake kuuwawa sababu Hamas inawaweka mbele huku inajificha mashuleni na hospitalini na kambi za wakimbizi. Hapa unashangilia Israel haipigi, ikipiga unadai imepiga shule na kambi.
 
Sisi majenerali wa kiyahudi wa mbagala kingugi tunasema hakuna kuondoa jeshi."
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Israel wants to ceasefire with Hamas now. Israel knows that Hamas is in full power these days.

Israel even fears the war with Lebanon directly.
 
Attachments

  • IMG_20240703_192631.jpg
    113.2 KB · Views: 2
Huna unalolijua wewe zaidi ya kujipitisha kwangu huku unatingisha kalio.
Endelea kutukana huku JF ila kaa ukijua mabwana zako magaidi wanapukutishwa hapo Middle East.

Mimi nashauri hamas waikatae hii cease fire ya kihuni haiwezekani hamas walikubali cease fire kabla ya wao kuvamia rafah na hamas akiwatahadharisha kuwa hawatapata kitu zaidi ya kuua wasio na hatia sasa wanataka sizi faya wakati wamesha haribu rafah hii ngoma iendelee tu
 
Hamas sidhani kama wana silaha dhaifu kama inavyofikiriwa, IDF wamezidiwa morali ya vita na intelligence.

Hamas sio migambo, nahisi ni commandos kabisa wenye mafunzo ya hali ya juu, na wamesomea nchi wanachama kama Iran, Lebanon n.k....
 
Huko nyuma nilisoma ripoti ya magenerali wa Israel kuzuwia IDF wasione video za mazoezi ya Hamas maana zingewakatisha tamaa,nilipost humu,watu wakanidhihaki,ilikua siku nyingi kabla kabisa ya hii vita
 
Ni kweli mkuu, vyombo vya habari magharibi na Israel wanadhani kukubali hamas ni commandos wanahisi kujidhalilisha kwa kuwapandisha lakini ni heri wakubali hao Hamas ni commandos ambao ni highly trained ili kusudi dunia ifahamu IDF ina deal na watu ambao wana mafunzo ya special forces, kuwaita migambo inawashusha zaidi IDF kiuwezo mbele ya macho ya dunia kama jeshi lililoaminika ni bora zaidi duniani likihangaishwa na migambo.

Lakini ukweli usemwe, Hamas sio kama watu wanavyoifikiria, si kazi nyepesi hata kidogo useme watu wenye mafunzo ya migambo kuhangaishana na jeshi kama IDF ndani ya kieneo ambacho ukubwa wake unatembea kwa miguu kwenda na kurudi kwa siku moja, sio siku masaa machache.
 
Amefeli ila anavoshupaza shingo utafikiri yeye ndo anashika bunduki ..yule mtoto wake inabidi naye apelekwe jeshini ili tuone kama bi sara atakubali
 
Hamas sidhani kama wana silaha dhaifu kama inavyofikiriwa, IDF wamezidiwa morali ya vita na intelligence.

Hamas sio migambo, nahisi ni commandos kabisa wenye mafunzo ya hali ya juu, na wamesomea nchi wanachama kama Iran, Lebanon n.k....
Has kila mazayuni wakitangaza wamewamaliza wanatowa silaha mpya.
Jana au juzi wametowa silaha ya kudungulia ndege na wameshaiangusha helicopter ya kizayuni ndani ya Ghaza.
 
Hamas sidhani kama wana silaha dhaifu kama inavyofikiriwa, IDF wamezidiwa morali ya vita na intelligence.

Hamas sio migambo, nahisi ni commandos kabisa wenye mafunzo ya hali ya juu, na wamesomea nchi wanachama kama Iran, Lebanon n.k....
Hilo ni kweli, mgambi tu hawezi kufanya oparedheni waliyoifanya Oktoba 7.

Na walifahamu fika matokeo yatayofatia, walikuwa wamejitayarisha vya kutosha ndiyo maana mwezi wa 9 sasa bado wanajihami kishujaa kabisa.

Majenerali wa kizayuni wameshsema "Hamas hatuwawezi" kwa namna jeshi lao lilivyo na mashoga wengi kuliko wapiganaji.
 
The number of disabled Israeli army soldiers has exceeded 70,000 for the first time, including 8,663 who had been wounded after the start of the war on Gaza on... Number of Israeli disabled soldiers exceeds 70,000 since 7 October - Report
 
Wataalm wa kivita wanakiri kuwa ni heri askari afe vitani kuliko kubaki anaishi na kilema, ni mzigo mkubwa sana kwa jeshi na nchi.

Ndiyo maana Hamas wakiwapiga hawarudii kuwashika wala kuwamalizia majeruhi, wanawawacha wabebe mzigo wao, mpaka mazayuni wakaja na kanuni yao ya "haniibal" ambayo inawataka askari wa kizayuni wasibebe mizigo ya askari waliojeruhiwa, wawamalize kabisa wao wenyewe.

Uzayuni umefikia mwisho wake, wale tuliokuwepo wakati wa mapambano ya SAfrika kusini kujikombowa tunaona kabisa kuwa uzayuni upo ukingoni. Bi;la Mmarekani na NATo saa hizi kungekuwa hakuna uzayuni, na wata badilika tu, utasaidi vilema mpaka lini?

Mwenyezi Mungu kawaongezea kilema cha ushoga wanajeshi wa kizayuni, askari ambao wanakwenda front huku wamevaa diapers, kuzuia mavi yaokuwatapakaa, ambayo hayana tena kizuizi cha asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…