Majenerali wa Jeshi la Isreal wataka vita visitishwe huko Gaza

Hata watetezi wao wengi hapa JF ni upinde wenzao tu.
 
Na magaidi vilema Wapo wangapi?!
Hayo yasikusumbuwe sana. Sapalestina hawajaanza kuuliwa na kutiwa vilema leo au jana, tokea mwaka 1948, sasa hao vilema wameamua liwlo na liwe, ndiyo maana unawaona wanavyopigana kishujaa hapo Ghaza na sasa Kaskazini ya israel.

Huu ni mwanzo tu wa mwisho wa uzayuni, kumbuka hilo.
 
Magaidi Hamas wanazidi kupukutishwa tu hapo Gaza. Almost 40k wameuwawa kuanzia Oct 7 walipofanya ugaidi dhidi ya Israel.
 
😀😀😀
Kwamba wewe ndio unajua zaidi kuliko paka
Sio mimi niliosema kama naenda kuiangamiza hamas ni paka ila mpaka sasa kachemka ila wewe unahishana na paka
Hata hao magaidi wao waliotekwa sio mimi nlosema kama naenda kuwaokoa ni paka
Kamwambia paka kama hawawezi kuiondoa hamas maana alisema ataifuta hamas ila mwaka sasa
Yaani kaeneo kama sinza kamemshinda 😀😀
 
Hayo ya syria yaache njoo hapa kwa hamas na usrahell
Usrahell anachoweza nikuua watu wasiokua na hatia kama eti kupigana na magaidi kama mnavyodai ndio sababu ya vifo kua vingi nakuuliza tu usrhell ndio nchi ya kwanza kupigana na hao mnaowaita magaidi mbona huko kwengine hatujaona vifo vya aina ya usrahell
Usrahell ndio gaidi namba moja sababu anatumia mpaka chakula dawa nk kama silaha wakati ambao wenzake kina russia walikua wanaambiwa kinyume na sharia za kimataifa
neta paka hakutwambia anaenda kubomoa majengo kama kuna sehemu alisema tuoneshe tupaone neta paka alisema anaenda kukomboa magaidi wao waliotekwa nampaka sasa mwaka kasoro miezi mitatu kakomboa watu wanne hii ni zaidi ya aibu kwa jeshi mnaloliita bora na nchi mnayosema ina intel bora duniani
Pia neta paka alisema anaenda kuifuta hamas juzi tu hamas wamerusha roket ndani ya usrahell kuonesha kua wanaouawa sio wao nandio maana bado wananguvu ya kupambana na usrahell au media group
Mwisho hakuna somo analotoa netapaka zaidi ya kuua watoto kina mama na wagonjwa hospital na hili niliwaambieni tokea mwanzo kua ndio pekee analoweza kufanya hamas usrahell walisema kuna hamas 15k ila leo vifo vinasoma 39k sasa hamas si washakufa wote leo wanapambana na nini
Halafu mimi sijawahi kudai kwamba usrahell anashambulia shule na hospital ila ndio ukweli ulivyo shifaa hospital alisema kuna comand ya hamas akaibomoa akashindwa kuleta ushahidi wa kweli na hataleta mpaka qiyama
Akazusha shutuma UNRWA ni wahusika wa lile shambulio kashindwa kuleta ushahidi na hataleta mpaka qiyama
Usrahell anachoweza kupiga ni majengo na watu wasiokua na hatia nandio maana anashindwa kumaliza hii vita kama angekua anapigana na hamas angekua kawamaliza zamani sana
Nasikia ukanda wa ghaza unaweza kwenda na kurudi hata mara million kwa siku kutumia miguu ila usrahell anashindwa kukomboa hata magaidi wake walotekwa dah
Usrahell ukiisikia kwa wachambuzi wa jf utaona inatisha zaidi ya kifo kumbe bure kabisaaa
 
Enyi watu mjifunze kwenye vita hii ya hamas na IDF kuna kitu kinatokea watu wanachkulia poa. Wale comandos wa hamas wanaweza kutembea mpaka kwenye kifaru cha idf wazi wazi na kuna askari ndani yake lakini hawawaoni mpaka mtu anaplant bomu anarudi analipua unajua ni kwaninj? Someni uislam mtajua kuna aya ukisoma adui hakuoni abadani na ipo katika Quran tu hakuna pengine utaipata sasa wale ni maulamaa chungu za mwenyewe video zao wanazopublish utagundua kitu
 
🤣🤣🤣, Mwamedi mwenyewe watu walimvunja meno wewe unakuja na mambo ya aya. Unataka kuwa Kinjekitile wa kizazi hiki!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mwamedi mwenyewe watu walimvunja meno wewe unakuja na mambo ya aya. Unataka kuwa Kinjekitile wa kizazi hiki!
Alijificha pangoni kwa aya buibui wakatanda muda huo huo ikaoneka kama hapajaingiwa mtu humo kwa muda wa miaka kadhaaa kumbe dk 5 zilizopita mtu kaingia hio ndio Quran
 
Alijificha pangoni kwa aya buibui wakatanda muda huo huo ikaoneka kama hapajaingiwa mtu humo kwa muda wa miaka kadhaaa kumbe dk 5 zilizopita mtu kaingia hio ndio Quran
Acha na hivi vichekesho
 
Yahya sinwar,alimtumia ujumbe haniyeh,tunewaweka waisrael pahala tulipopataka,Leo netanyahu anakaa na wenzake kujadili sizi faya,maana makamanda msitari wa mbele washaona Hali si hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…