Majenerali wa Jeshi la Isreal wataka vita visitishwe huko Gaza

Alijificha pangoni kwa aya buibui wakatanda muda huo huo ikaoneka kama hapajaingiwa mtu humo kwa muda wa miaka kadhaaa kumbe dk 5 zilizopita mtu kaingia hio ndio Quran
Achana na hawa kenge hata uwape mfno gani watakukejeli tuh ...NB mjinga mjibu kaa ujinga wake
 
Ushahidi ulishatolewa kuwa Israel wanashambulia raia kimakusudi.
Ukitaka mkuu tunakuwekea ushahidi.
IDF wamekua wakishindwa STREET BATTLES hasira wakimaliza kwa raia wakawaida.
Mfano bomu lililopigwa kanisani na wanawake wawili waliouliwa na SNIPER.
Unataka kusema Sniper mdunguaji wa masafa ya mbali anashindwa kung'amua adui!?
Hilo laonesha wazi kuwa Israel inaua raia kimakusudi,huko vita za mtaani na Alqassam zinamshinda.

Egypt na Lebanon na Jordan walishauridisha ardhi zao.
Anayemdai ardhi Israel ni Syria(Gollah heights) na Palestine basi.
Hao wa huko juu ardhi zao zilirudi Egypt na Jordan 1973 kwa mtutu wa bunduki na 1978 kwa makubaliano ya Camp David pamoja na Jordan.
Lebanon 2000 kwa withdrawal ya IDF pamoja na 2006 kwa mtutu wa bunduki pale Bint Jubeir.
Israel ni dhaifu,kuna video nyingi zimesambaa ikikimbia cross fire dhidi ya Hamas mitaa ya Gaza iliyobomoka.
Na Gaza kubomoka sio mara ya kwanza 2006,20011,2021 ilibomoka na ikajengwa.
 
Acha porojo. Jeshini hakuna kitu kama hicho, jeshi lolote likifanya hivyo ni mutiny na ni mapinduzi na serikali hiyo itakuwa imeangushwa.
 
Huu ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…