Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana.
Vijana 15 kwa siku ni wengi Sana taifa linapoteza nguvukazi, Lema alisema ni laana tukamtuka hapa kuna ukweli maana kwa mwezi hata kama hawafi (labda) tukapata walemavu wengi