Dogo hana jipya Saud Arabia alipiga mwisho wake aka surrender mwenyewe. Yemen dogo anapumzi ndefu tofouti na Israel anadhani vita ni vitisho au kupiga mabomu sana bila akili ni sawa sawa na kichaa anarusha mawe hovyo hajui wapi kuna military target ndo mana anawatisha au anadhani akipiga Sanaa Air Port ndio kamaliza mchezo.IDF yatoa onyo la 'haraka' la watu kuhamishwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa wa Yemen
Katika hali isiyo ya kawaida, IDF imetoa onyo la "haraka" la kuhamishwa watu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa wa Yemen.
Katika chapisho kwenye X, msemaji wa IDF wa lugha ya Kiarabu, Kanali Avichay Adraee, anasema, "Tunawaomba muhame eneo la uwanja wa ndege mara moja na wabaki ndege na inzi tu na kila mtu amtaarifu aliye karibu naye kuhusu taarifa hii ya kuhama eneo hili mara moja."
"Kukosa kuhama kutoka eneo hilo kunakuweka kwenye hatari," taarifa hiyo Iliongeza.
Onyo hilo linakuja baada ya IDF kushambulia maeneo ya Wahouthi nchini Yemen jana usiku, kujibu mashambulizi ya mara kwa mara ya kundi linaloungwa mkono na Iran kwa makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, likiwemo shambulio la Jumapili nje kidogo ya Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion. Webabu@Adiosamigo@mdogoye na babu yenu Ritz
Ndege-Vita za Israel sasa hivi zako angani kwenda kuwapa kichapo mbwa hao huko Yemen subiri kidogo nitakupa taarifa rasmi wamepigwa wapi mbwa nyieDogo hana jipya Saud Arabia alipiga mwisho wake aka surrender mwenyewe. Yemen dogo anapumzi ndefu tofouti na Israel anadhani vita ni vitisho au kupiga mabomu sana bila akili ni sawa sawa na kichaa anarusha mawe hovyo hajui wapi kuna military target ndo mana anawatisha au anadhani akipiga Sanaa Air Port ndio kamaliza mchezo.
Time itaongea Yemen anatumia akili jwenye vita anawatia hasara lakini kidogo kidogo anapiga kwenye mshona wenyewe.
Israel hakuna ndege zitatua Yemen ndege kutua zitatua hata kwenye airstrip tatizo Israel ataweza kuishi bila watalii kwenda kufanya ushoga Tela Aviv 😄 🤣
Kasha sema wanaenda piga Air Port sa kwani atapiga wapi au atapiga civilian target mfano Hospital au Soko au majumba ya raia wa kawaida hawezi piga military target ikiwa US, Saud Arabia walipiga na US wanapiga mpaa leo wao ndio wanalia wanakula hasara. Yemen wanatafuna mirungi huku wanacheka wanajua wazi silaha zao ziko kwenye safe side.Ndege-Vita za Israel sasa hivi zako angani kwenda kuwapa kichapo mbwa hao huko Yemen subiri kidogo nitakupa taarifa rasmi wamepigwa wapi mbwa nyie
Israel imetoa taarifa mapema pale airport watu wote watoke eneo hilo kwa hiyo Israel haina kosa.Kasha sema wanaenda piga Air Port sa kwani atapiga wapi au atapiga civilian target mfano Hospital au Soko au majumba ya raia wa kawaida hawezi piga military target ikiwa US, Saud Arabia walipiga na US wanapiga mpaa leo wao ndio wanalia wanakula hasara. Yemen wanatafuna mirungi huku wanacheka wanajua wazi silaha zao ziko kwenye safe side.
Then get out of it or keep roaming there I know what you know more so we both knows..Ben Gurion is working brother!!
Toka jana usiku hata sasa midege inatua na kuruka kama kawaida Houth hawawezi kitu wakijaribu tena wajue bandari ya Hordeidar itakuwa majivuThen get out of it or keep roaming there I know what you know more so we both knows..
🇾🇪 Breaking — The Higher Operations Command Center (HOCC) in Yemen has issued a formal notice to all global airlines:
In response to the Israeli regime’s escalation and its decision to intensify aggressive operations against the besieged Gaza Strip—and in line with our religious, humanitarian, and moral duty to stand with the oppressed Palestinian people—the Yemeni Armed Forces hereby declare:
A comprehensive ban on all air navigation to and from enemy airports, led by Ben Gurion Airport, effective immediately and for an indefinite duration.
We urge all international airlines to strictly comply with this declaration to ensure the safety of aircraft, passengers, and crew.
🔹@enemywatch
Kuna mashilika mengi yameacha kwenda uko Israel!!!!!!!! Naww tutajie shilika lilikuwa linaenda Sanaaq???Ben Gurion is working brother!!
Usilazimishe vitu huu utaratibu Hauna kikomo wameblock usafiri wa anga na maji mpaka suez Canal atakae kiuka anakwenda na maji.Toka jana usiku hata sasa midege inatua na kuruka kama kawaida Houth hawawezi kitu wakijaribu tena wajue bandari ya Hordeidar itakuwa majivu