Majeshi ya Israel yaamua kulifunga anga la Yemen!!!

Majeshi ya Israel yaamua kulifunga anga la Yemen!!!

Ni mtiti sasa kwa mashabiki.... Wacha watwangane. Wanatutisha na nini wakati sie tuna Simba na Yanga, Diamond na Zuchu.
 
Dogo hana jipya Saud Arabia alipiga mwisho wake aka surrender mwenyewe. Yemen dogo anapumzi ndefu tofouti na Israel anadhani vita ni vitisho au kupiga mabomu sana bila akili ni sawa sawa na kichaa anarusha mawe hovyo hajui wapi kuna military target ndo mana anawatisha au anadhani akipiga Sanaa Air Port ndio kamaliza mchezo.

Time itaongea Yemen anatumia akili kwenye vita anawatia hasara lakini kidogo kidogo anapiga kwenye mshona wenyewe.

Israel hakuna ndege zitatua, Yemen ndege kutua zitatua hata kwenye airstrip tatizo Israel ataweza kuishi bila watalii kwenda kufanya ushoga Tela Aviv 😄 🤣
Kwa hisani ya Qatar 🇶🇦. Tajiri anapokuamrisha uendelee kuwa masikini. Poor Yemen
 
Back
Top Bottom