We jamaa bhana! Hahaha1-1 viwanja vyote havifanyi kazi lakin nani apata hasara zaidi?
We jamaa bhana! Hahaha1-1 viwanja vyote havifanyi kazi lakin nani apata hasara zaidi?
Eee ndio ukweli haijalishi wew umepiga mabomu 100 mwingine Hata asipopiga ila kitendo Cha kuzuia watu wasitue kwako na wakati lengo ni lile lile vyote havifanyi kazi ila mmoja katumia resources nyingi kuliko mwenziwe!We jamaa bhana! Hahaha
SawaEee ndio ukweli haijalishi wew umepiga mabomu 100 mwingine Hata asipopiga ila kitendo Cha kuzuia watu wasitue kwako na wakati lengo ni lile lile vyote havifanyi kazi ila mmoja katumia resources nyingi kuliko mwenziwe!
Hata Hama's na Hezbollah walivimbishwa vichwa hivihivi kilichowapata wanakijua mwenyewe waliowavimbisha vichwa nao wameishia njolo zisizojulikana.Dogo hana jipya Saud Arabia alipiga mwisho wake aka surrender mwenyewe. Yemen dogo anapumzi ndefu tofouti na Israel anadhani vita ni vitisho au kupiga mabomu sana bila akili ni sawa sawa na kichaa anarusha mawe hovyo hajui wapi kuna military target ndo mana anawatisha au anadhani akipiga Sanaa Air Port ndio kamaliza mchezo.
Time itaongea Yemen anatumia akili kwenye vita anawatia hasara lakini kidogo kidogo anapiga kwenye mshona wenyewe.
Israel hakuna ndege zitatua, Yemen ndege kutua zitatua hata kwenye airstrip tatizo Israel ataweza kuishi bila watalii kwenda kufanya ushoga Tela Aviv 😄 🤣
Unamanisha Iran walioishambulia Israel kwa ndege 300 asilimia moja tu ndiozikafanikiwa kufika Israel,wakarusha makombora 180,Isarael wakajibu kwa kutumia ndege zilizokuwa zinarushwa na mademu Iran baada ya Iran kukung'utwa wakahidi kulipiza kisasi mpaka leo kisasi hakuna.Eee ndio ukweli haijalishi wew umepiga mabomu 100 mwingine Hata asipopiga ila kitendo Cha kuzuia watu wasitue kwako na wakati lengo ni lile lile vyote havifanyi kazi ila mmoja katumia resources nyingi kuliko mwenziwe!
Hezb hawa hapa wamebeba manicipal zote Lebanon.Hata Hama's na Hezbollah walivimbishwa vichwa hivihivi kilichowapata wanakijua mwenyewe waliowavimbisha vichwa nao wameishia njolo zisizojulikana.
Relax bro be informedUnamanisha Iran walioishambulia Israel kwa ndege 300 asilimia moja tu ndiozikafanikiwa kufika Israel,wakarusha makombora 180,Isarael wakajibu kwa kutumia ndege zilizokuwa zinarushwa na mademu Iran baada ya Iran kukung'utwa wakahidi kulipiza kisasi mpaka leo kisasi hakuna.
Zimeniuma sana zile ndege zilizoungulia uwanjani bonge la dege la kirusi limewaka kama karatasi. Houthi hawajatumia busara taarifa I etolę wa asubuhi wangezitoa hapo uwanjaniHii taarifa ya sasahivi baada ya shambulio
🇾🇪 Breaking — Israeli Warplanes Bomb Sana’a Airport and Key Infrastructure
Hours ago, Israeli warplanes launched a major wave of airstrikes targeting Sana’a International Airport, power infrastructure, and at least a dozen other sites across AnsarAllah-controlled regions. Strikes hit fuel centers, pilot training facilities, and notably the Asr electricity distribution station in Ma’in District, the heart of the Yemeni capital.
Muhammad Al-Bukhaiti, spokesman for AnsarAllah’s political bureau, issued a firm response:
— “We will meet escalation with escalation. We have many Zionist sites ahead of us that we have not yet targeted.”
— “Our battle with the United States, the UK, and Israel will continue until the aggression against Gaza stops.”
— “The losses suffered by the enemies are much larger than those borne by Yemen.”
🔹@enemywatch
Hapo Umemaliza kobazSawa
Omeona eee! Yaani ni shidaHapo Umemaliza kobaz
Mwanzo hatupigwi
Saa hizi hata ukitupiga sana sawa tu
Mwezi mmoja mbele yatarudi ya wanawake na watoto
1-1 viwanja fugia nguruwe na Mimi ntahifadhia mirungi nani ata mwenye hasara?Zimeniuma sana zile ndege zilizoungulia uwanjani bonge la dege la kirusi limewaka kama karatasi. Houthi hawajatumia busara taarifa I etolę wa asubuhi wangezitoa hapo uwanjani
Maneno ya kujifariji tu hayo baada ya kipigo cha Mbwa-Mwizi wahouth!!!!Eee ndio ukweli haijalishi wew umepiga mabomu 100 mwingine Hata asipopiga ila kitendo Cha kuzuia watu wasitue kwako na wakati lengo ni lile lile vyote havifanyi kazi ila mmoja katumia resources nyingi kuliko mwenziwe!
Uongo uongo tu ndivyo mlivyo. Mnafanya TAQIYYAH kwa ajili ya mnyazimungu wenu!!!!Trump kakubali naona Netanyau hawajui hao wajomba
🇺🇸🇾🇪⚡️ | BREAKING:
🔻 Trump brought to his knees, admitting America's defeat and announced they will no longer launch attacks on Yemen
🔴 To save a face in front of his people and the world, In the video of him speaking, he made it like Yemen suddenly decided they do not want to fight anymore, when in reality they have been fighting for over ten years non-stop against Saudis, Americans and israelis
🟡 @NEWWORLDORDYR
Uongo uko wapi trump kasema mwenyewe hatashambulia? Sasa kipi hapo ni uongoUongo uongo tu ndivyo mlivyo. Mnafanya TAQIYYAH kwa ajili ya mnyazimungu wenu!!!!
Huogopi hata mungu wako kusema uongo? Hiyo hapo clip sikiliza mwenyewe Trump alisema magaidi wa Houth wamesalimu amri ndiyo maana Trump kasema ataheshimu usemi wao!!!!Uongo uko wapi trump kasema mwenyewe hatashambulia? Sasa kipi hapo ni uongo
Hayo ni maneno ya Trump, huyo sio Abdul Malik Al Houth sina official mpaka Sasa kutoka Al Houth Kama wamesitisha hivyo kaeni Kwa kutulia, huyo anajitetea tu Kwa kuwa next week ana safari ya middle east wahouth sio wehu walishasema ruhusu chakula Gaza nawewe utapita angani na ardhini bila keroHuogopi hata mungu wako kusema uongo? Hiyo hapo clip sikiliza mwenyewe Trump alisema magaidi wa Houth wamesalimu amri ndiyo maana Trump kasema ataheshimu usemi wao!!!!
Rudia tena kuandika hi kaka. Saudia hawatengenezi silaha, wana nunua, wanapewa msaada. Israel anatengeneza mwenyewe na zingine anapewa na ana modify. Wajukuu wa Ibrahim, Isaac na Yakobo ni habari nyingine pale middle eastDogo hana jipya Saud Arabia alipiga mwisho wake aka surrender mwenyewe. Yemen dogo anapumzi ndefu tofouti na Israel anadhani vita ni vitisho au kupiga mabomu sana bila akili ni sawa sawa na kichaa anarusha mawe hovyo hajui wapi kuna military target ndo mana anawatisha au anadhani akipiga Sanaa Air Port ndio kamaliza mchezo.
Time itaongea Yemen anatumia akili kwenye vita anawatia hasara lakini kidogo kidogo anapiga kwenye mshona wenyewe.
Israel hakuna ndege zitatua, Yemen ndege kutua zitatua hata kwenye airstrip tatizo Israel ataweza kuishi bila watalii kwenda kufanya ushoga Tela Aviv 😄 🤣