Majeshi ya Israel yaamua kulifunga anga la Yemen!!!

We jamaa bhana! Hahaha
Eee ndio ukweli haijalishi wew umepiga mabomu 100 mwingine Hata asipopiga ila kitendo Cha kuzuia watu wasitue kwako na wakati lengo ni lile lile vyote havifanyi kazi ila mmoja katumia resources nyingi kuliko mwenziwe!
 
Hata Hama's na Hezbollah walivimbishwa vichwa hivihivi kilichowapata wanakijua mwenyewe waliowavimbisha vichwa nao wameishia njolo zisizojulikana.
 
Unamanisha Iran walioishambulia Israel kwa ndege 300 asilimia moja tu ndiozikafanikiwa kufika Israel,wakarusha makombora 180,Isarael wakajibu kwa kutumia ndege zilizokuwa zinarushwa na mademu Iran baada ya Iran kukung'utwa wakahidi kulipiza kisasi mpaka leo kisasi hakuna.
 
Hata Hama's na Hezbollah walivimbishwa vichwa hivihivi kilichowapata wanakijua mwenyewe waliowavimbisha vichwa nao wameishia njolo zisizojulikana.
Hezb hawa hapa wamebeba manicipal zote Lebanon.

β€”β—οΈπŸ‡±πŸ‡§/πŸ‡±πŸ‡§/πŸ‡±πŸ‡§ NEW: Yesterday, local and municipal elections were held across Lebanon for the first time in 10 years

The Hezbollah-backed candidate lists won in every single municipality where they participated in the election.

The Lebanese Forces lost in every municipality of Mount Lebanon where they put up candidates against the Hezbollah-Amal duo.

@Middle_East_Spectator
 
Relax bro be informed
 
Zimeniuma sana zile ndege zilizoungulia uwanjani bonge la dege la kirusi limewaka kama karatasi. Houthi hawajatumia busara taarifa I etolΔ™ wa asubuhi wangezitoa hapo uwanjani
 
Attachments

  • EwxOyDYoarqIDC4v.mp4
    2.1 MB
Zimeniuma sana zile ndege zilizoungulia uwanjani bonge la dege la kirusi limewaka kama karatasi. Houthi hawajatumia busara taarifa I etolΔ™ wa asubuhi wangezitoa hapo uwanjani
1-1 viwanja fugia nguruwe na Mimi ntahifadhia mirungi nani ata mwenye hasara?
 
πŸ΄β€β˜ οΈ | Out of fear of the Yemeni missiles, a wave of flight cancellations to Tel Aviv began taking place

πŸ”Έ Air Baltic has announced the suspension of its flights to Ben Gurion Airport and that these flights will not resume until at least May 18.

πŸ”Έ Greek Airlines has also canceled all its flights to and from Ben Gurion Airport until May 14.

πŸ”Έ In this regard, the Irish airline Ryanair also announced that it has canceled all of its flights to Tel Aviv on Wednesday.

πŸ”Ή The recent strike on Ben Gurion Airport was not aimless, but rather a strategic strike that shook the entity from within, causing a psychological effect for all settlers and making the occupation shaky and insecure with no escape from the Yemeni targeting. This is in addition to the economic strikes carried out by the Yemenis for over a year by now, crippling Eilat and the economy of israel, causing the entity to bleed little by little, economically and psychologically

πŸ”Ή If Ben Gurion airport continues being targeted by Yemen, it can open more doors for other airports to be targeted, it is expected for tourism to continue declining, more airline disruptions, investments can be affected as well and perhaps we may even witness emigration effect from settlers, like what we saw in the past from the north occupied Palestine due to the continuous targeting by Hezbollah, we all remember how they filled the airports to escape the occupation

But with the airports being targeted, perhaps it is wise to learn swimming

🟑 @NEWWORLDORDYR
 
Trump kakubali naona Netanyau hawajui hao wajomba

πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΎπŸ‡ͺ⚑️ | BREAKING:

πŸ”» Trump brought to his knees, admitting America's defeat and announced they will no longer launch attacks on Yemen

πŸ”΄ To save a face in front of his people and the world, In the video of him speaking, he made it like Yemen suddenly decided they do not want to fight anymore, when in reality they have been fighting for over ten years non-stop against Saudis, Americans and israelis

🟑 @NEWWORLDORDYR
 
Trump kakubali Kwa wajomba
 
Attachments

  • 4QXWizUamwGpYQ.mp4
    4.7 MB
Eee ndio ukweli haijalishi wew umepiga mabomu 100 mwingine Hata asipopiga ila kitendo Cha kuzuia watu wasitue kwako na wakati lengo ni lile lile vyote havifanyi kazi ila mmoja katumia resources nyingi kuliko mwenziwe!
Maneno ya kujifariji tu hayo baada ya kipigo cha Mbwa-Mwizi wahouth!!!!
 
Uongo uongo tu ndivyo mlivyo. Mnafanya TAQIYYAH kwa ajili ya mnyazimungu wenu!!!!
 
Uongo uko wapi trump kasema mwenyewe hatashambulia? Sasa kipi hapo ni uongo
Huogopi hata mungu wako kusema uongo? Hiyo hapo clip sikiliza mwenyewe Trump alisema magaidi wa Houth wamesalimu amri ndiyo maana Trump kasema ataheshimu usemi wao!!!!
 
Attachments

  • IMG_2339.mp4
    22.6 MB
Huogopi hata mungu wako kusema uongo? Hiyo hapo clip sikiliza mwenyewe Trump alisema magaidi wa Houth wamesalimu amri ndiyo maana Trump kasema ataheshimu usemi wao!!!!
Hayo ni maneno ya Trump, huyo sio Abdul Malik Al Houth sina official mpaka Sasa kutoka Al Houth Kama wamesitisha hivyo kaeni Kwa kutulia, huyo anajitetea tu Kwa kuwa next week ana safari ya middle east wahouth sio wehu walishasema ruhusu chakula Gaza nawewe utapita angani na ardhini bila kero
 
Rudia tena kuandika hi kaka. Saudia hawatengenezi silaha, wana nunua, wanapewa msaada. Israel anatengeneza mwenyewe na zingine anapewa na ana modify. Wajukuu wa Ibrahim, Isaac na Yakobo ni habari nyingine pale middle east
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…