Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

Huyu sio echolima ni gazeti la Hebrew linakuelezea Hamas ni watu wa namna Gani, kina echolima humu full kusifiana kuua watoto na WANAWAKE 80

#Enemy_Media

"Yedioth Ahronoth" Hebrew newspaper – Ben-Dror Yemini:
Decision-makers in "Israel" must realize that Hamas is not shaken by threats of killing and siege.

#Military_Media
 
Israel si ya kubabaishwa na Magaidi wa Hamas tamko lilishatolewa Hamas lazima atasambaratishwa mtake msitake lazima Gaza will be free from Hamas!!
 
Yaani mmeshiba viazi huko mnakuja na ngonjera za watu waliochemka vita mwaka wa 3 huu, nyie mnajua Sana kuliko wale raia million 6 wanaondamana kila siku vita isitishwe? Wanaujua uwezo wa jeshi lao hawaandamani Kwa bahati mbaya
 
Toka lini raia wakajua uwezo wa jeshi lao?

Hata wewe hapa raia huwezi kujua uwezo wa Jeshi sana sana utabaki kubwabwaja tu
 
Kifaru hata kikiharibiwa huwezi kulinganisha na roho za watu 80 kwa hiyo ni ujinga kufurahia kuharibiwa kifaru wakati huo wameuwawa wapalestina 80!!

Kuna taarifa ya kuondoka hutolewa mapema ya raia kuondoka kutoka eneo lengwa na Majeshi ya Israel na daima raia wema hukimbilia sehemu salama waliyoelekezwa. Na magaidi kwa kuogopa kubainika hubaki kwenye eneo hilo hivyo kusababisha vifo kwao. Kwa hiyo waliouwawa ni Hamas 100%.

Eneo kuwa monitored hiyo ni kazi ya IDF na vikosi vyake wanajua vyema ku handle hali hiyo na ndiyo maana kila siku wanawapa kipondo magaidi hao!!!
We msafisha choo kifaru kingekuwa kinaweza kushinda vita au fighter jets Israel angeisha chukua nchi za kiarabu zote wacha Gaza.

Unajua hakuna kitu kama uwe mwanaume unasimamia haki yako hata kifaru na hizo fighter jets haziwezi fanya kitu, Israel hawezi kushinda vita vya Gaza time itaongea.
 
Kwahio kifaru kilikua peke yake? Na hao wapalestine waliuawa Hamas ni wangapi katka hao 80.? Hivi unajua kua mabomu yaliyopandwa chini hayaripuliwi mpaka kue na mkusanyiko wa IDF? Unajua kua movement zote za IDF ziko recorded na camera Gaza nzima ambazo ziko controled na Hamas? Majengo yote magofu Kuna mapandikizi ya mabomu na camera za siri
Wew ugo Jordan au Misri au Syria!!!!! Aaaaiiiiseeeee!!! Intelijensia yako ni kali sana kupita Mossad...hemu
 
We msafisha choo kifaru kingekuwa kinaweza kushinda vita au fighte jets Israel angeisha chukua nchi za kiarabu zote wacha Gaza.

Unajua hakuna kitu kama uwe mwanaume unasimamia haki yako hata kifaru na hizo fighter jets haziwezi fanya kitu, Israel hawezi kushinda vita vya Gaza time itaongea.
Hata kwe Hezbollah mlikuwa mnabwabwaja hivyo hivyo leo kiko wapi? Hezbollah wanatafutwa hadi kwa torch!!!!
 
Hata kwe Hezbollah mlikuwa mnabwabwaja hivyo hivyo leo kiko wapi? Hezbollah wanatafutwa hadi kwa torch!!!!
Aisay yani pole sana kama unadhani Hezbullah imekwisha hizo pagers na walkie-talkie mliza fanikiwa kudhuru makamanda wa Hezbullah kwa kusaidiwa na nchi za Europe mlizo modified with explosive devices zimeshiriki nchi nyingi ndio sababu nakuambia Israel hana uwezo huo bila kusaidiwa na nchi kama US, UK, Canada, Germany, France na Hungary pia Taiwan hao ndio walihusika pia serekali ya Lebanon na wanafiki ndani ya Hezbullah hivi hivi hata msingweza kufanikiwa lolote

Time itaongea we ngojea kikinuka huko Lebanon utaona Israel itakavyo chakazwa.
 
Aisay yani pole sana kama unadhani Hezbullah imekwisha hizo pagers na walkie-talkie mliza fanikiwa kudhuru makamanda wa Hezbullah kwa kusaidiwa na nchi za Europe mlizo modified with explosive devices zimeshiril8 nchi nyingi ndio sababu nakuambia Israel hana uwezo huo bila kusaidiwa na nchi kama US, UK, Canada, Germany, France na Hungary pia Taiwan hao ndio walihusika pia serekali ya Lebanon na wanafiki ndani ya Hezbullah hivi hivi hata msingweza kufanikiwa lolote

Time itaongea we ngojea kikinuka huko Lebanon utaona Israel itakavyo chakazwa.
Visingizio uchwara lakini ukweli unabaki palepale Hezbollah keshatenguliwa kiuno na sasa anachechemea tu!!!
 
Wew ugo Jordan au Misri au Syria!!!!! Aaaaiiiiseeeee!!! Intelijensia yako ni kali sana kupita Mossad...hemu
Sio intelligensia Wala hapa hamna rocket science kujua Kama Hamas anatumia camera kumonita movement za IDF, Sasa kulitaka wafanyeje? Ile ndio Guarela war wakishalipua ndio wanafanya ambush
 
Aisay yani pole sana kama unadhani Hezbullah imekwisha hizo pagers na walkie-talkie mliza fanikiwa kudhuru makamanda wa Hezbullah kwa kusaidiwa na nchi za Europe mlizo modified with explosive devices zimeshiril8 nchi nyingi ndio sababu nakuambia Israel hana uwezo huo bila kusaidiwa na nchi kama US, UK, Canada, Germany, France na Hungary pia Taiwan hao ndio walihusika pia serekali ya Lebanon na wanafiki ndani ya Hezbullah hivi hivi hata msingweza kufanikiwa lolote

Time itaongea we ngojea kikinuka huko Lebanon utaona Israel itakavyo chakazwa.
Sasa kwa nn Hezbollah hawasaidiwi na Jordan,Misri,Qatar, Syria, Pakistan etc. Kama anavyosaidowa Israel?
 
Sio intelligensia Wala hapa hamna rocket science kujua Kama Hamas anatumia camera kumonita movement za IDF, Sasa kulitaka wafanyeje? Ile ndio Guarela war wakishalipua ndio wanafanya ambush
Sasa haya unayoeleza hapa wao IDF hawajui?
 
A massive ambush by the Palestinian resistance in Rafah, south of the Gaza Strip. The Palestinian resistance stormed a position of the Zionist occupation soldiers and killed everyone inside.
 
Back
Top Bottom