Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

The Zionist occupation talks about the killing and wounding of 11 Zionist soldiers in Rafah, south of the Gaza Strip.
Uongo mtupu !! IDF si wajinga kihivyo!!
 
⚡️🇵🇸❌🇮🇱 - Preliminary reports of an ambush and a kidnapping operation attempt by 15 militants of a Palestinian faction in northern Rafah, southern Gaza.

A number of IDF causalities reported, evacuation operations are ongoing.

📝 Note;
Rafah has been captured and "cleared" by the IDF back in early July.
 
🔴🇵🇸/🇮🇱 Issued by Martyr Izz El-Din Al-Qassam Brigades:

Al-Qassam fighters managed this morning to raid a newly established enemy position southeast of Khan Younis city in the southern sector with a Qassam force consisting of an infantry platoon.

Al-Qassam fighters stormed the position and targeted a number of "Merkava 4" guard tanks with several Shawaz explosive devices, suicide explosive devices, and "Yassin 105" shells.

Al-Qassam fighters also targeted a number of houses where occupation soldiers were fortified, hitting them with 6 anti-fortification and anti-personnel shells and machine gun fire. A number of fighters stormed the houses and eliminated a number of occupation soldiers inside at point-blank range with light weapons and hand grenades.

Al-Qassam fighters also managed to snipe a "Merkava 4" tank commander, inflicting a fatal wound. Our fighters shelled the surrounding positions of the operation site with a number of mortar shells to cut off reinforcements, and the operation site was shelled with a number of mortar shells to secure the fighters' withdrawal from the location.

Upon the arrival of the rescue force, one of the martyrdom seekers detonated himself among the soldiers, causing casualties. The attack continued for several hours, and our fighters observed helicopter landings for evacuation.

⚜️@TheSimurgh313
 
⚡️🇵🇸❌🇮🇱 - Preliminary reports of an ambush and a kidnapping operation attempt by 15 militants of a Palestinian faction in northern Rafah, southern Gaza.

A number of IDF causalities reported, evacuation operations are ongoing.

📝 Note;
Rafah has been captured and "cleared" by the IDF back in early July.
Kwa Formation wanayotumia askari wa Israel huko Gaza Hamas hawawezi kuteka hata askari mmoja!! Wanaweza kuua lakini hawawezi kuteka askari wa Israel!!

Kwa sababu Hamas ni waongo watasingizia tu kuwa wameteka askari wa Israel wakati ni uongo!! Hamas hawana uwezo wa kuteka nyara askari wa Israel kwa sasa!!
 
Mission saivi ni kuteka wanajeshi hii ni attempt ya pili imefeli lakini itafanikiwa TU wanazidi kuboresha naona IDF saivi wamekuwa waoga mno wanatembea Kwa makundi na wengine wanawatumia raia wema wapalestine Kama ngao ili Hamas wasiwalipue mabomu ya Kwenye magofu
 
Zionist aircraft are continuing to evacuate Zionist casualties in the qualitative operation of the Palestinian resistance in Rafah, south of the Gaza Strip, now.
 
Mission saivi ni kuteka wanajeshi hii ni attempt ya pili imefeli lakini itafanikiwa TU wanazidi kuboresha naona IDF saivi wamekuwa waoga mno wanatembea Kwa makundi na wengine wanawatumia raia wema wapalestine Kama ngao ili Hamas wasiwalipue mabomu ya Kwenye magofu
Hivi wewe kuwa Muongo huwa wanakulipa shillingi ngapi? Nilishasema toka muda mrefu kuwa Hamas hawawezi tena kuteka nyara askari wa Israel kwa sababu ya formation wanayotumia vitani Haiti nafasi kwa adui kuteka askari(Ungekuwa una ufahamu na mambo ya kijeshi) ungeelewa namaanisha nini!!

Majeshi ya Israel ni wazoefu kwenye uwanja wa vita hata siku moja hawakai kama kikundi mara zote huwa separated ili hata wakishambuliwa wasife wengi!! Ni uongo kudai kuwa wanatembea makundi makundi. Askari wa Israel daima wanatembea kwenye formation kuepuka mashambulizi ya adui.

Kwa formation hiyo adui atakayewashambulia na yeye zake zimekwisha mfano leo hii magaidi 14 waliokuwa wanataka kufanya jaribio hilo waliangamizwa na kikosi kilichokuwa karibu nao!!
Maariv newspaper on the Israeli army: Hamas's Khan Yunis battalion is waging a war of attrition after learning our methods.
Kwa ujinga ulio nao unafikiri Jeshi linafanya kazi na Propaganda za magazeti!!
 
🇵🇸/🇮🇱 Hamas carried out an attack similar to the Khan Yunis attack of today, two days ago, in Beit Hanoun, north of the Gaza Strip, in an incident that wasn't announced.

🔗 Hebrew Website Walla

That was Abortive attack!!
 
That was Abortive attack!!
Mimi nakuambia taarifa za Hamas, Hezbollah, Ansarllah na Iran ninazo kuliko za hapo kizimkazi wewe ni mbwambwazaji TU humu, % 99 ya kinachofanyika na Hamas ndani ya Gaza nakipata live au baada ya Lisaa TU hivyo wewe wasimulie walokole wenzako hizo kajanja zako
 
Ndiyo tuseme wewe sasa uko Gaza? Unatusimlia Arbotive attack ina faida gani maana haijafanikiwa au kwa waislamu ninyi mnaita ushindi maana akili zenu mnazijua wenyewe!!
 
IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
damu ya Joshua na moleli watanzania wenzetu waliuawa na Hamas pasipo hatia inawalilia Hamas ila kobazi walipofushwa na udini hawakuiona hii dhuluma

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Aisay yani pole sana kama unadhani Hezbullah imekwisha hizo pagers na walkie-talkie mliza fanikiwa kudhuru makamanda wa Hezbullah kwa kusaidiwa na nchi za Europe mlizo modified with explosive devices zimeshiriki nchi nyingi ndio sababu nakuambia Israel hana uwezo huo bila kusaidiwa na nchi kama US, UK, Canada, Germany, France na Hungary pia Taiwan hao ndio walihusika pia serekali ya Lebanon na wanafiki ndani ya Hezbullah hivi hivi hata msingweza kufanikiwa lolote

Time itaongea we ngojea kikinuka huko Lebanon utaona Israel itakavyo chakazwa.
Ndoto ya mchana stuka utajinyea wewe
 
🇵🇸/🇮🇱 Hamas carried out an attack similar to the Khan Yunis attack of today, two days ago, in Beit Hanoun, north of the Gaza Strip, in an incident that wasn't announced.

🔗 Hebrew Website Walla

⚜️@TheSimurgh313

Maariv newspaper on the Israeli army: Hamas's Khan Yunis battalion is waging a war of attrition after learning our methods.
 
Attachments

  • 14cd6c1954ea0a3b3dad8e4641319466.mp4
    11 MB
IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
Piga magaidi mpaka yaishe
 
Ndiyo tuseme wewe sasa uko Gaza? Unatusimlia Arbotive attack ina faida gani maana haijafanikiwa au kwa waislamu ninyi mnaita ushindi maana akili zenu mnazijua wenyewe!!
Sio lazima niwe Gaza kujua kinachoendelea ndani ya Gaza, kawaida yenu ni kudogosha mambo lait Kama Hamas wangekua hawarekodi matukio Leo hii taarifa zingepikwa mno Kama kawaida yenu ndio maana Jambo LA Kwanza IDF kuanza nalo ni kuua waaandishi wa habari unadhani kwanini? Sasa Hamas na Hezbollah wanarekodi operation zao wenyewe na sisi tunazipata live na zingine zilizoeditiwa Kwa maandishi na eneo husika ndio maana Mimi humu sina wasi wasi kila aina ya slogani mmezokuwa mnakuja nazo mara chariot, rising lion, sijui king David, hivi Sasa ni chariot b, mara sijui nini zote zinaishia njian kwakua IDF ni waoga na wajinga na ni vitoto vishoga linaenda gaza limevishwa pete na mchumba ake.

Bro nikwambie Jambo hiii vita sio ya kidini lakini Wana dini ndio wanaopigana siku zote muislam halisi hatishwi Wala hapigwi kwa vita Wala harudi nyuma kwakua dhambi ya kurudi nyuma adhabu yake ni sawa na Alie kufuru ni laana, Gaza namalizia Hamas ndio watakua wa mwisho kurusha bullet ya mwisho, Netanyau kachanganyikiwa kila mbinu katumia lakini kila wakirudi Kwenye makaratasi watu wanachora pale pale toka Gaza, ondoka mpakani upate mateka wako yaàni simple and clear
 
Back
Top Bottom