Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

Gaza sio picknick ni Chuma TU, here we go Gidion Chariot 2...
*************

🇵🇸/🇮🇱 Hamas:

The occupation's announcement of the start of "Gideon's Chariots 2" operation represents a persistence in the war of extermination and disregard for the efforts being made by mediators to reach a cessation of aggression.

Gideon's Chariots 2 will fail just as its predecessors among military operations failed, and occupying Gaza will not be a walk in the park.

⚜️@TheSimurgh313
 
Mimi nakuambia taarifa za Hamas, Hezbollah, Ansarllah na Iran ninazo kuliko za hapo kizimkazi wewe ni mbwambwazaji TU humu, % 99 ya kinachofanyika na Hamas ndani ya Gaza nakipata live au baada ya Lisaa TU hivyo wewe wasimulie walokole wenzako hizo kajanja zako
UShashiba urojo wewe mbona mvivu k*nya ili mafi yatoke humo kichwani!
 
Saraya tunajifariji hivi

Saraya Al-Quds: We destroyed a Zionist military vehicle by detonating a highly explosive (thaqib-kharqiyah) bomb - previously planted - in the vicinity of the Al-Nojoum Hall in the Al-Zeitoun neighborhood, south of Gaza City.
Siku mkiacha kufikiria dini yenu ni bora kuliko kila kitu na kila binadamu lazima afuate dini yenu, mtapata amani na mtaishi maisha mazuri sana, ila kwa sasa endeleeni kupokea kipondo ili mtie adabu na kuheshimu wengine ambao sio waislam
 
🇵🇸🇵🇸🌹 Images of 3 Al-Qassam Mujahideen who ascended to martyrdom whilst clashing with the IOF in the operation earlier today. May Allah accept these lions into the highest ranks of paradise.

❗️NOTE: The IOF claimed they killed 8 Qassam fighters in the clashes today, which turned out to be a lie. They also claimed none of their soldiers were killed, only 3 injuries, which turned out to be an even bigger lie as over 4 helicopter evacuations took place from the targeted site, carrying multiple stretchers in each one.

@Palestine_Updates
 
Siku mkiacha kufikiria dini yenu ni bora kuliko kila kitu na kila binadamu lazima afuate dini yenu, mtapata amani na mtaishi maisha mazuri sana, ila kwa sasa endeleeni kupokea kipondo ili mtie adabu na kuheshimu wengine ambao sio waislam
Dini yetu ni Bora kuliko kitu chochote hapa duniani, na si lazima kila mtu afuate dini hii, hawezi mtu kuja kuleta utaratibu ndani ya dini yetu halafu aangaliwe TU.
 
IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
Kisa hasa ni nini hii Dunia ugomvi Huwa hauisho aghrrrrrr
 
IDF wawili to ndio majeruhi Kwenye mlipuko na tuliweza kuwadhibiti.

'hamas hizo 4 zinaelekea Soroka hospital zimebeba majeruhi mmoja anaendelea vizuri, duuh zayuni kiboko
 

Attachments

  • IMG_20250821_090438_631.jpg
    IMG_20250821_090438_631.jpg
    45.2 KB · Views: 18
Achana nae asilimia kubwa ya hii dini akili zao ni kiduchu mno. Huoni hata anavyoandika tu unajua Kuna shida. Mwambie Hamas wanashinda,mtaelewana. Dunia imefika mahali ambapo kupingana na watu wa hii Imani ni kupoteza muda. Wakiambia majani ni meupe kubali ili kunusuru muda wako. Kuna shekhe mmoja nilimwambia Iran na Hamas wamefuta Israel kwenye ramani ya Dunia. Jamaa alifurahi sana mpaka akaninunulia bia. Maamae!
Kifaru hata kikiharibiwa huwezi kulinganisha na roho za watu 80 kwa hiyo ni ujinga kufurahia kuharibiwa kifaru wakati huo wameuwawa wapalestina 80!!

Kuna taarifa ya kuondoka hutolewa mapema ya raia kuondoka kutoka eneo lengwa na Majeshi ya Israel na daima raia wema hukimbilia sehemu salama waliyoelekezwa. Na magaidi kwa kuogopa kubainika hubaki kwenye eneo hilo hivyo kusababisha vifo kwao. Kwa hiyo waliouwawa ni Hamas 100%.

Eneo kuwa monitored hiyo ni kazi ya IDF na vikosi vyake wanajua vyema ku handle hali hiyo na ndiyo maana kila siku wanawapa kipondo magaidi hao!!!
 
Back
Top Bottom