Hata viwe vita vya tano vya dunia sawa tu, acha wapigane.Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
Ndio kaishiwa, na sisi Tanzania tumsaidie.Kwahiyo Urusi na ukubwa wote ule wa nchi ameishiwa wanajeshi mpaka anaomba kusaidiwa?
Wale wa Chechen licha ya sifa kibao walikata moto vibaya.Miongoni mwa majeshi mabaya na katili kabisa lilikua jeshi la japan kipindi cha ww2 alafu wanafuatia wakorea huko front muda si mrefu tutaanza kusikia mauza uza ,..
Na mbaya zaidi hao wanaenda kupigana kwa misingi ya kiimani wakiamini wanaenda kupigana na upebari ambao kwao ni sumu kubwa sanaaaa sipati picha
Ni kujipanga tu Ili wamalize kazi,maana kuna choko huku anachokonoa mzinga wa nyuki wa uajemi,pakinuka vizuri nguvu za mabepari zitahamia huko kwa choko huku ukraine itapokwa mji baada ya mji chapchap...ila kiduku kasema kawapeleka trainingKwahiyo Urusi na ukubwa wote ule wa nchi ameishiwa wanajeshi mpaka anaomba kusaidiwa?
Eti walikata moto,navyojua kuna mji ukraine umechukuliwa na urusi,mji muhimu kusupply wale mambwiga walioingia urusiWale wa Chechen licha ya sifa kibao walikata moto vibaya.
Miongoni mwa majeshi mabaya na katili kabisa lilikua jeshi la japan kipindi cha ww2 alafu wanafuatia wakorea huko front muda si mrefu tutaanza kusikia mauza uza ,..
Na mbaya zaidi hao wanaenda kupigana kwa misingi ya kiimani wakiamini wanaenda kupigana na upebari ambao kwao ni sumu kubwa sanaaaa sipati picha
Survival war,we unaona vita ya kumkata shingo adui yako,utaacha kutia nguvuAnahamu Sana na vita
Elewa hoja.Eti walikata moto,navyojua kuna mji ukraine umechukuliwa na urusi,mji muhimu kusupply wale mambwiga walioingia urusi
Wale wa Chechen licha ya sifa kibao walikata moto vibaya.