Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Urussi ni mjanja sana ...hili lisinge wezekana kirahisi kama waukrain wasingevamia eneo la urusi hivyo hayo majeshi ya kiduku yanapelekwa Kursk...nilijua tu mrussi alitumia akili kuwapiga wavamizi kwa mtindo wa kulina asali ili aweze kuwaangamiza kwa wingi kama ilivyo sasa ...ukweli ni kwamba Urussi ilikuwa na uwezo wa kuangamiza wavamizi ndani ya siku 30 tu ila wengi wangekimbia na silaha zao ..hivyo angeua wachache na kuhalibu silaha chache tofauti na sasa ...waukrain wangekuwaxna akili wangeng'amua hii janja na kutoka KURSK HARAKA SANAMiongoni mwa majeshi mabaya na katili kabisa lilikua jeshi la japan kipindi cha ww2 alafu wanafuatia wakorea huko front muda si mrefu tutaanza kusikia mauza uza ,..
Na mbaya zaidi hao wanaenda kupigana kwa misingi ya kiimani wakiamini wanaenda kupigana na upebari ambao kwao ni sumu kubwa sanaaaa sipati picha