ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana alijulo huyo. Si unajua chawa tena😆😃😀
JEshi sio kucheza playstation kwamba una hela unaenda sehemu unalipa unakua na jeshi, it needs lot of things kuliandaa, Binafsi naunga Mkono Tanzania kuingilia huo mgogoro, tunahitaji Congo salama kwenye interest zetu, wakimalizana na Congo ujue hata sisi hatutakua salama.Kwa nini wasitumie hizo rasilimali zao kulipa wanajeshi wao wenyewe badala ya kuzipa nchi nyingine?
Inakera sana kuona Baadhi ya Nchi za Kiafrika zimejikausha na kuisusa DRC Kwa kuiacha inagukie kwenye mikono ya Jeshi la Vibaraka wa Wazungu M23 Kupitia Rwanda.
Ni kama Wameisusia Tanzania peke yake kiasi kwamba inaweza ikawa ngumu Kwa JWTZ Kuzuia hao Vibaka kuuteka Mji wa Goma ikizingatiwa kwamba watakuwa wanapewa vifaa vya Kisasa ,kusaidia inteligensia nk na Mabeberu. Soma JWTZ yatoa sababu 200 zilizoifanya Tanzania ipambane na waasi wa M23
Wananchi wa DRC wa Imani na JWTZ lakini Sina hakika kama wao yao wataweza kuwazuia M23 ikizingatiwa kwamba JWTZ Iko huko kulinda amnani na sio mstari wa mbele wa Vita,wanatakiwa kuwa mstari wa mbele NJ Jeshi la DRC lakini ndio Hilo limezidiwa.Inatia sana hasira.👇👇
View: https://youtu.be/Fs7jEBnCRJU?feature=shared
My Take
Nchi zingine za Kizalendo Ziungane kuzuia huu uhuni wa Rwanda.
Ikumbukwe Rwanda Kwa Sasa imepunguza sana biashara na Tanzania na bidhaa zao nyingi wanapitishia Bandari ya Mombasa.
View: https://youtu.be/yi8VlUZYe84?feature=shared
Nchi za EAC zimeikemee Rwanda iache kuivuruga Drc maana pia ni mwanachama wa EAC.
Kwa miaka 60 Congo imeshindwa kuliandaa jeshi lake kudhibiti nchi, hiyo ina maana hiyo nchi ni kubwa kuliko uwezo wao wa kuitawala. Hapo suluhisho ni mmoja tu, waigawe nchi kama ilivyofanyika Sudan.JEshi sio kucheza playstation kwamba una hela unaenda sehemu unalipa unakua na jeshi, it needs lot of things kuliandaa, Binafsi naunga Mkono Tanzania kuingilia huo mgogoro, tunahitaji Congo salama kwenye interest zetu, wakimalizana na Congo ujue hata sisi hatutakua salama.
Tunahitaji Congo Salama kwa Interests zetu zipi? Congo ikigawanywa kuwa nchi mbili au tatu ni faida kubwa zaidi kwa Tanzania.JEshi sio kucheza playstation kwamba una hela unaenda sehemu unalipa unakua na jeshi, it needs lot of things kuliandaa, Binafsi naunga Mkono Tanzania kuingilia huo mgogoro, tunahitaji Congo salama kwenye interest zetu, wakimalizana na Congo ujue hata sisi hatutakua salama.
Wampe nani Rwanda?Kwa miaka 60 Congo imeshindwa kuliandaa jeshi lake kudhibiti nchi, hiyo ina maana hiyo nchi ni kubwa kuliko uwezo wao wa kuitawala. Hapo suluhisho ni mmoja tu, waigawe nchi kama ilivyofanyika Sudan.
Kwani Sudan Kusini alipewa nani??Wampe nani Rwanda?
Congo wana import hadi 500M+ usd kwa Mwaka toka Tanzania, tunawauzia vitu kibao mpaka Dagaa, wafanyabiashara wao wanafunga Shia vitu huku most of time, hapo bado Mizigo ya Transit, na Congo wanatumia USD hivyo inasaidia reserve za Hela za kigeni kwetu.Tunahitaji Congo Salama kwa Interests zetu zipi? Congo ikigawanywa kuwa nchi mbili au tatu ni faida kubwa zaidi kwa Tanzania.
Hizo nchi zilikuwa na watu wa ndani, waliotaka Kujitenga ila Congo ni interference za mataifa ya nje so situation ni tofauti.Kwani Sudan Kusini alipewa nani??
Pakistan alipewa nani alipojiondoa kutoka India?
Bangladesh alipewa nani ilipojiondoa kutoka Pakistan?
Bandari gani zaidi ya Dar Es Salaam inayoweza kuwa mbadala kwa unafuu kwa eneo lolote la DRC? Kama ipo hiyo bandari basi ujue kinachoizuia DRC kuitumia hiyo bandari sasa hivi ni vita au utawala mbovu na siku DRC ikitulia ndio tutaipoteza kabisa kama mteja wa bandari ya Dar.Congo wana import hadi 500M+ usd kwa Mwaka toka Tanzania, tunawauzia vitu kibao mpaka Dagaa, wafanyabiashara wao wanafunga Shia vitu huku most of time, hapo bado Mizigo ya Transit, na Congo wanatumia USD hivyo inasaidia reserve za Hela za kigeni kwetu.
Ikigawanywa kwa Nchi ambazo sio rafiki kwa Tanzania Wataumia Bandari nyengine ama wata trade na nchi nyengine, ila tukiwasaidia sisi ni rahisi kuwekeana mikataba ambayo ni favourable kwetu.
🤣Tanzania
South Africa
Namibia
Burkinabe
Algeria
Zimbabwe
Burundi
Ethiopia nk
EAC ni hii inayoandaa CHAN hizo nchi nyingine ni kuwaridhisha wakubwa huko Ulaya.Kwa kweli inashangaza ,haya maumojanyasiyo.na maana Bora Kujitoa tuu.
Yaani EAC Wameshindwa kuwakanywa Rwanda ,kwanza Inaelekea Tanzania pekee ndio Wazalendo wengine wote waliotuzunguka ni mawakala wa Mabeberu kina Rwanda,Uganda,Kenya nk.
Bila Tanzania hata Burundi ingeshaanguka Kwa vibaraka.