Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.

Anjouanese teenagers cheer the Comoran and African Union troops near from the place where the fightings are taking place in Mutsamudu on 25 March 2008.




Huyo mwanajeshi aliyegeuza kofia ni wacomoro



 
Bacar wanted to extend his presidency illegally.he was given diplomatic means to negotiated but refused.He gave the Federal Government of Comoro no option but to send for the Afro-Marines.

look Bacar has only about 300-400 hundred soldiers!.even if it was to help the federal government!, why not train and arm soldiers loyal to the federal government and instead opt to send our fine, brave men in uniform to do the job of others?.

if a government cannot defeat 300 men, does it has the right to remain in power?. to defend whom?
 

GT,

Uchaguzi wa Anjouan ulikuwa ni sham, haukuwa hata na international observers.

Naku support kuhusu referrendum 100% hata Zanzibar inahitajika sana tu.

Kuhusu process ni katiba yetu inayomfanya rais kuwa demi god.Kwani Nyerere alivyotangaza vita vya Kagera pale Diamond Jubilee alikaa na bunge? The issue should be kubadili katiba inayompa rais nguvu za ki demi god.Kama process inaruhusu usiri huwezi kulaumu serikali ikitumia the existing rule, you have to push for a change in the rule.
 
Kwa kifupi serikali ya Comoro iliomba msaada wa kijeshi AU, Zimbabwe imeomba, Sudan imeomba, Uganda imeomba? The answer is NO...the only argument ninayoona hapa ni kwa nini serikali yetu haikutuambia na mpaka sasa bado haijasema sababu iliyotupeleka kule, nani analipia vita na mambo mengine kama hayo.

Kwa wale wanaofuatilia issue za Comoro tangu 1997 wanajua historia ya hii conflict ya watu wa Anjoun na serikali yao ya shirikisho.
 

Mimi bado naamini sababu za kupeleka msaada wa jeshi ni kuitikia wito halali wa AU. Kama tungekwenda unilaterally, pengine tungelzaimika kuangalia maslahi kwanza...lakini tumeitikia wito baada ya kuombwa na AU, na tunakubali kama tulivyokubali Lebanon, kuwafundisha Somalia na hata kupeleka askari Dafur...

Kamati ya Bunge (Ulinzi na Usalama) imeelezwa kuwa gharama za operesheni ni za AU...yapata bilioni 10 zimetengwa kwa ajili hii.
 
Habari za uhakika ni kuwa bado kuna sehemu inashikiliwa na majeshi yanayomtii Bakari na kwenye France 24 wamewaonyesha majamaa wakiapa kuwa watakufa na mtu.Pia kuna habari za kijasusi kuwa Bakari anatoroka na boti na kuna uwezekano kuwa amevaa kama mwanamke ili kukwepa kukamatwa.Kazi ipo na bado kuna kurushiana risasi.
 
If you can't do what you want, you may want to do what you can.
 

Hili ndilo tatizo langu hapa ni kuwa akina MEMBE at al once walipo contend for this war huko Anjouan mainstream media (Including mwanakijiji) Tanzania just gone into "WAR MODE"went into something we can call "war mode". In short hapa the mission is not journalism, but the creation of a national consensus in support of government's military actions ambayo watawala wanatupa vague info.

Sasa nimekumbuka ile katuni ya GADO sijui iko wapi
 

By the way nimesoma Syria wamedeploy 3 military divisions along Lebanon borders, wizara ya Ulinzi inatakiwa itueleze usalama wa wanajeshi wetu huko.
 
Aibu gani hii, tunaungana na Sudan ambayo inachinja weusi wenzetu huko Sudan, halafu tunadai ni patriotrism

Mimi simo humo na afadhali niitwe unpatriotic kuliko ku support vita na
watu ambao hawajatukosea lolote. Kama ni kwenda kulinda amani sawa lakini sio kwenda kuchagua upande mmoja tena tukishirikiana na nchi kama Sudan.
 
Kila moja lina uzito wa aina yake,

Darfur ni climate crisis wakati Comoro ni kuondoa ufisadi wa madaraka



Ni sawa kuwa na mke ambaye unaona na bakwa na jamaa halafu unamwacha aendelee kubwaka halafu wewe huyoo unaenda kutatua ugomvi wa mtu na mkewe wanaotaka kuachana

labda ningekuuliza swali: Kwa akili yako under what circumstances might external intervention in failed states, such as Comoro, be justified?'
 
Wanajeshi wa AU si wako Darfur au? na kila siku wanashambuliwa na hawajui nani anawashambulia(Chad, Janjaweed, Sudan?).
 
As i said earlier:

Its easy to WIN a war but difficult to keep peace katika kisiwa kilichompa kura jamaa wa 90% sasa kama uchaguli uliibwa au la ni lingine lakini I am sure surely this is not the best way to win hearts and minds kwa kuwapiga wananchi kama ambavyo huwa wanafanya wakiwa Tanzania









*Picha courtesy of ICADON

Now the question is JE MEDIA TANZANIA WATARIPOTI hii human right abuse?[/SIZE]
 
Wanajeshi wa AU si wako Darfur au? na kila siku wanashambuliwa na hawajui nani anawashambulia(Chad, Janjaweed, Sudan?).
in comoro they are fighting the Bacar soldiers
in Sudan who are they fighting?.
 
Ndio maana nilisema mkulu Icadon, ninakuaminia kwa dataz za hiii noma, haya tuletee dataz mwanangu.....!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…