Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bacar wanted to extend his presidency illegally.he was given diplomatic means to negotiated but refused.He gave the Federal Government of Comoro no option but to send for the Afro-Marines.
the same can be said about Museveni, Mugabe and Aferweki.
Pia usisahu kuwa jamaa lishinda uchaguzi kule Anjouan by 90% ambao idadi yao inafika laki 3
sasa kama issue hapa kuwa je uchaguzi ulikuwa ni haki au la ni suala lingine lakini mind you wati wa Mwali na Nzuani wanajua wangazija wamekuwa wakitaka kuwaburuza na kama walikuwa hawamtaji huku Bacar basi wasingempigia kura
sasa hapa nataka niweke mawazo yangu binafsi
personally nina support succession ya hawa jamaa if thats suits them kama vile ninavyo support Darfur,Southern Sudan,Western Sahara,Somali land na hata Zanzibar wakitaka kujitenga mimi sina tatizo nalo as long as kutakuwa na free and fair referendum kwenye hilo
Suala la msingi ambalo sitaki tilipoteze hapa ni kuwa PROCESS NZIMA ambayo vijana wetu wamepelekwa kule ilijaa usiri ambao sidhani kama tutaendelea kuukubali for long
Hakuna anayetaka breaches za national security hapa ila tunachosema kuwa maamuzi mazito kama haya yalihitaji transparency badala ya kuburuzwa na Membe na maswahiba wake
In principle mahojiano yanaendelea (30 years!) it is high time kualika majeshi ya AU kuwatoa Wamorocco.
why........?I am getting scared
Kwa kifupi serikali ya Comoro iliomba msaada wa kijeshi AU, Zimbabwe imeomba, Sudan imeomba, Uganda imeomba? The answer is NO...the only argument ninayoona hapa ni kwa nini serikali yetu haikutuambia na mpaka sasa bado haijasema sababu iliyotupeleka kule, nani analipia vita na mambo mengine kama hayo.
.
Kila moja lina uzito wa aina yake,Which is more pressing...Darfur or Comoro or both?
GT,
Kuhusu process ni katiba yetu inayomfanya rais kuwa demi god.Kwani Nyerere alivyotangaza vita vya Kagera pale Diamond Jubilee alikaa na bunge? The issue should be kubadili katiba inayompa rais nguvu za ki demi god.Kama process inaruhusu usiri huwezi kulaumu serikali ikitumia the existing rule, you have to push for a change in the rule.
why........?
Mimi bado naamini sababu za kupeleka msaada wa jeshi ni kuitikia wito halali wa AU. Kama tungekwenda unilaterally, pengine tungelzaimika kuangalia maslahi kwanza...lakini tumeitikia wito baada ya kuombwa na AU, na tunakubali kama tulivyokubali Lebanon, kuwafundisha Somalia na hata kupeleka askari Dafur...
Kamati ya Bunge (Ulinzi na Usalama) imeelezwa kuwa gharama za operesheni ni za AU...yapata bilioni 10 zimetengwa kwa ajili hii.
Kila moja lina uzito wa aina yake,
Darfur ni climate crisis wakati Comoro ni kuondoa ufisadi wa madaraka
Kila moja lina uzito wa aina yake,
Darfur ni climate crisis wakati Comoro ni kuondoa ufisadi wa madaraka
in comoro they are fighting the Bacar soldiersWanajeshi wa AU si wako Darfur au? na kila siku wanashambuliwa na hawajui nani anawashambulia(Chad, Janjaweed, Sudan?).