Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #21
Sidhani Kama itakuwa ni njia sahihi ya kuimarisha usalama wa nchi yetuUnafikiri ni kazi ya Majeshi ya ulinzi kuhoji mikataba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani Kama itakuwa ni njia sahihi ya kuimarisha usalama wa nchi yetuUnafikiri ni kazi ya Majeshi ya ulinzi kuhoji mikataba?
Wewe ndiye kunguru mjaneKo jamiiforums ni kunguru
Mbona una hasira mkuuWewe ndiye kunguru mjane
Kama ni hivyo basi yapelekewe na ripoti ya CAG ili yakawakamate wale waliopiga matrilioni.Sidhani Kama itakuwa ni njia sahihi ya kuimarisha usalama wa nchi yetu
Wanajeshi hawajihusishi na siasa. Kazi yao ni ulinzi na usalama.Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia.
Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa na baadaye inaweza kuwa mwiba mbavuni mwa majeshi yetu.
Je, maoni ya jeshi au majeshi ya nchi yetu ni yapi?!
Mkuu huwa nauamini uwezo wako wa kuchangia hoja na naamini hata hapa umenielewa. Ufisadi haulinganishwi na tishio la ulinzi wa kijeshiKama ni hivyo basi yapelekewe na ripoti ya CAG ili yakawakamate wale waliopiga matrilioni.
Sawa. Lakini siasa zinazotia Shaka kiusalama inafaa ihojiwe na majeshiWanajeshi hawajihusishi na siasa. Kazi yao ni ulinzi na usalama.
Usihusishe Uarabu na Ugaidi hakuna DPWorld haijawahi kuhusishwa na Ugaidi wowote.Mkuu huwa nauamini uwezo wako wa kuchangia hoja na naamini hata hapa umenielewa. Ufisadi haulinganishwi na tishio la ulinzi wa kijeshi
SawaUsihusishe Uarabu na Ugaidi hakuna DPWorld haijawahi kuhusishwa na Ugaidi wowote.
Nafasi wanayo sana TU, ila hawafanyi Hivyo kwa uwazi kwa kuwa wao si wanasiasa. Ila tambua, hakuna kinachofanyika hapa nchini Hawa wasijue. Tena pengine wao ndio wanaanza kufahamu kabla hakijafahamika na wengine.Sidhani Kama itakuwa ni njia sahihi ya kuimarisha usalama wa nchi yetu
Wakubwa walishalamba asali tuombe MUNGU atusaidie kuchukua hatua.Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia.
Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa na baadaye inaweza kuwa mwiba mbavuni mwa majeshi yetu.
Je, maoni ya jeshi au majeshi ya nchi yetu ni yapi?!
Jukumu Lao ni kulinda mipaka. Sio BandariTupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia.
Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa na baadaye inaweza kuwa mwiba mbavuni mwa majeshi yetu.
Je, maoni ya jeshi au majeshi ya nchi yetu ni yapi?!
itasababisha Coup d'etat ambayo si taswira nzuri kwa taifa.Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia.
Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa na baadaye inaweza kuwa mwiba mbavuni mwa majeshi yetu.
Je, maoni ya jeshi au majeshi ya nchi yetu ni yapi?!
😃😃😃 Eti Mama Yanga, na ni Mama Yanga kweli anaipenda Yanga bila kufichaHao Ni Wateule Wa Mama Yanga
Mipaka ipi Migration ?Jukumu Lao ni kulinda mipaka. Sio Bandari