Majeshi yetu yana Maoni gani kwenye Sakata la Bandari?

UFA wa muungano unazidi kuongezeka. Kwa Mara ya kwanza wazanzibar wanapoteza furaha ndani ya Tanganyika
 
Wanajeshi hawajihusishi na siasa. Kazi yao ni ulinzi na usalama.
 
Kama ni hivyo basi yapelekewe na ripoti ya CAG ili yakawakamate wale waliopiga matrilioni.
Mkuu huwa nauamini uwezo wako wa kuchangia hoja na naamini hata hapa umenielewa. Ufisadi haulinganishwi na tishio la ulinzi wa kijeshi
 
Kwenye kitu ambacho ni ndoto ni majeshi ya Tz kuingilia swala lolote lile kwenye siasa .. kazi yao ni kurusha risasi tu mengne tuna waonea bure tu ni waramba asali wazuri tu
 
Mkuu huwa nauamini uwezo wako wa kuchangia hoja na naamini hata hapa umenielewa. Ufisadi haulinganishwi na tishio la ulinzi wa kijeshi
Usihusishe Uarabu na Ugaidi hakuna DPWorld haijawahi kuhusishwa na Ugaidi wowote.
 
Sidhani Kama itakuwa ni njia sahihi ya kuimarisha usalama wa nchi yetu
Nafasi wanayo sana TU, ila hawafanyi Hivyo kwa uwazi kwa kuwa wao si wanasiasa. Ila tambua, hakuna kinachofanyika hapa nchini Hawa wasijue. Tena pengine wao ndio wanaanza kufahamu kabla hakijafahamika na wengine.
 
Wakubwa walishalamba asali tuombe MUNGU atusaidie kuchukua hatua.
 
Wanawake wanadanganyika kirahisi Sasa wanaume machawa hawawezi kuwekwa msimamo ndohivihivi Adam alimbwela Hawa alipodanganywa name akayavagaa! Mamzenji atulizwe wanaume tusimame tukilala hatutozalisha
 
kama JPM ali kuwa makini wakati wa kujenga ikulu yetu ya Chamwino kwa kutumia jeshi kwa nini umakini uleule usitumike kwenye suala la bandari
 
Jukumu Lao ni kulinda mipaka. Sio Bandari
 
itasababisha Coup d'etat ambayo si taswira nzuri kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…