Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela baba
Kazi TunayaoKwa jinsi tulivyozungukwa na Moto, maziwa, mabwawa, bahari, chemchemu, visima, mikoa mingine wakichimba wa hata jembe maji wanayakuta.
HII KUMAANISHA NCHI HAIKUPASWA KUWA NA MAHANGAIKO YA MAJI
Kujenga bwawa bei gani!?..maana hilo bwawa linatakiwa linyweshe dar na moro,siyo dogo[emoji28][emoji28],serikali haijawahi kukosa pesa kwa inshu ndogo kama hiyo labda useme wako bize na masuala mengine.
Ujinga mtupu wewe endelea kusifia viongozi jeuri na wenye dharauHii thread naona inamchafua mama na waziri wa maji. Dar kwa mwaka huu maji yanatoka kila mahali llkaribu kwa 70% kitu ambacho ni cha kawaidabkwasababu hapa syo ulaya. Congrats to aweso na mama,kazi iendelee kumtua mama ndoo
Ujinga ni kukosoq kitu ambacho huna uhakika nacho,wewe ni mmoja wapoUjinga mtupu wewe endelea kusifia viongozi jeuri na wenye dharau
Wana jukwaa
Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza.
Dar inategemewa chanzo cha maji yasiyo na chumvi kutoka mto Ruvu na ina mashine zake Ruvu juu na Ruvu chini lakini cha kushangaza inakaribia wiki tatu sasa maji yamekuwa ya shida sana huku wakiuziwa na wajanja usiku wa manane shilingi 1,000 hadi 2,000 kwa dumu moja la ujazo wa lita 20.
Wananchi wanatoa rai kwa mamlaka ya maji DAWASA pamoja na wizara ya maji kushughulika na kero hii mapema kabla majnga hayajaanza kuibuka kifamilia na kijamii.
Ilidaiwa kipindi fulani kuna chanzo kingine kimeanzishwa huko Mkuranga, Pwani lakini jitihada hizo hazionekani na na viwanda vya kutengeneza maji kila kukicha wanapandisha bei mfano huko Kigamboni na Mapinga bei za maji ni juu kuliko hata maji yanayotengezwa Bonite bottlers Kilimanjaro!
Mchango wa maoni yenu wadau ni mhimu kwa wakati sahihi.
Maji yapo ya kumwagaSio kweli maji hakuna Dar kama wewe unayo inawezekana ndio mnaotumia mwanya huu kuwauzia wananchi usiku wa manane kwa hiyo unatakiwa kusaidia vyombo vya dola kutaja kwanini mnawatesa wnanchi.
Tumezungukwa na moto!Kwa jinsi tulivyozungukwa na Moto, maziwa, mabwawa, bahari, chemchemu, visima, mikoa mingine wakichimba wa hata jembe maji wanayakuta.
HII KUMAANISHA NCHI HAIKUPASWA KUWA NA MAHANGAIKO YA MAJI