Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

Kuna kipindi nilikuwa nakaa Maramba mawili dah sitasahu,sijui siku hizi hali ya maji ikoje,Tank la mtaa lilikuwa nyuma ya nyumba lakini halina maji,wajanja wamekata mipira yote inayoleta maji,badala yake wanatuuzia maji kwenye malori yao......
 
Kwa jinsi tulivyozungukwa na Moto, maziwa, mabwawa, bahari, chemchemu, visima, mikoa mingine wakichimba wa hata jembe maji wanayakuta.

HII KUMAANISHA NCHI HAIKUPASWA KUWA NA MAHANGAIKO YA MAJI
Kazi Tunayao
 
[emoji28][emoji28],serikali haijawahi kukosa pesa kwa inshu ndogo kama hiyo labda useme wako bize na masuala mengine.
Kujenga bwawa bei gani!?..maana hilo bwawa linatakiwa linyweshe dar na moro,siyo dogo
 
Hii thread naona inamchafua mama na waziri wa maji. Dar kwa mwaka huu maji yanatoka kila mahali llkaribu kwa 70% kitu ambacho ni cha kawaidabkwasababu hapa syo ulaya. Congrats to aweso na mama,kazi iendelee kumtua mama ndoo
 
Ujinga mtupu wewe endelea kusifia viongozi jeuri na wenye dharau
 
Toka nianze ishi dar sijawahi hisi shida ya maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…