Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

Hali ya hewa ndugu, kipindi cha JPM karibia chote Mvua zilinyesha kwa wakati.
Nimekwambia maji yapo na yanauzwa kwa biashara wewe unaleta ishu za ukame


USSR
 
[8/30, 14:36] : Wapendwa habari za leo. Yawezekana hili lisiwe mahali pake lakini Hii changamoto ya maji inakuwaje viongozi wetu?
[8/30, 15:09] : Kuna tatizo la bomba kubwa maeneo ya Mkalamo (Mlandizi) Mafundi wako kazini, tuvute subira.
[8/30, 15:11] : Tatizo ni DAWASA kutotoa taarifa kwa Umma
 
Wanachagua wa kuwapa maji Kuna maeneo wanayafungia kwa makusudi ili magari ya maji yatu-babue

Hiyo nayo yaweza kuwa ni mbinu ya kuongeza ajira nchini. Waambie wale wenye ile mikangafu ya malori maboza ya maji waifufue kama mjini biashara ya maji imenoga. Jiji la kibiashara kama DSM bado kuna huduma ya maji kwa madumu ya korie ya recycling Hii nchi bado sana.
 
Back
Top Bottom