Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

Haya yanauzwa hapa Mbezi darajani hayana break down

USSR
Mbezi na shida ya maji ndugu ila migari haikaukiwi na inachotea Mbezi hapo hapo. Huu usanii ndugu
 
Undeni group za WhatsApp maeneo yenu mnayoishi kama tulivyofanya sisi kisha humo mu waongeze hawa wadau muhimu
Dawasco/Dawasa
Tanesco
Polisi
Mkiwa waongeza waombeni wawe wanawapatia taarifa zote muhimu za dharura nk toka vitengo vyao na mara moja moja mnawaalika kwenye vikao vya mtaa mnakula nao pilau nyama na kunywa nao soda za Coka au Pepsi, msiweke vilevi maana pombe huzibua milango ya hofu
 
Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida.

Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji.
Kiangazi hiki hata huku kwetu ni shida na ni ya mgao..

Mwisho mbona kiangazi kidogo kinatuathiri hivi tukioata kiangazi kama Somalia au Ulaya na kwingineko itakuaje?

Jamani wataalamu wa maji muwe na utaratibu wa kuwa na maji ya uhakika,Bora mradi uwe expensive lakini uweze kuhimili Hali ngumu..

Na uhakika zaidi yawe maji ya bahari,Ziwa na moto mikubwa ikiwemo mabwawa ya hifadhi za maji.
 
Undeni group za WhatsApp maeneo yenu mnayoishi kama tulivyofanya sisi kisha humo mu waongeze hawa wadau muhimu
Dawasco/Dawasa
Tanesco
Polisi
Mkiwa waongeza waombeni wawe wanawapatia taarifa zote muhimu za dharura nk toka vitengo vyao na mara moja moja mnawaalika kwenye vikao vya mtaa mnakula nao pilau nyama na kunywa nao soda za Coka au Pepsi, msiweke vilevi maana pombe huzibua milango ya hofu
Asante sana Kiongozi.
 
Mkuu hapo mbezi darajani maji yanauzwa kwenye makenta yanazungusha mitaani kwa ndoo moja buku ,

Waziri aweso yupo bize na wake wawili na tilalila kama konda wa manzese

USSR
Hata hao wanachukua mbali mno. wasiwasi wangu maji yanaweza yasiwe salama.
 
Kiangazi hiki hata huku kwetu ni shida na ni ya mgao..

Mwisho mbona kiangazi kidogo kinatuathiri hivi tukioata kiangazi kama Somalia au Ulaya na kwingineko itakuaje?

Jamani wataalamu wa maji muwe na utaratibu wa kuwa na maji ya uhakika,Bora mradi uwe expensive lakini uweze kuhimili Hali ngumu..

Na uhakika zaidi yawe maji ya bahari,Ziwa na moto mikubwa ikiwemo mabwawa ya hifadhi za maji.
CCM wao wanawaza kushinda uchaguzi tu, hawawezi kuwaza hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aweso yuko busy na mitala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yuko bize anachakata mbususu tu na kelele kibao mikwala kama teja ,badala afike mbezi kwanza

USSR
 
Mkuu hapo mbezi darajani maji yanauzwa kwenye makenta yanazungusha mitaani kwa ndoo moja buku ,

Waziri aweso yupo bize na wake wawili na tilalila kama konda wa manzese

USSR

Dah, mnamfitini jamaa.

Uoni nanyie wake 4
 
Kwani kipindi cha dhalimu maji ndio yalikuwa hayakatiki au unadhani tumesahau?
Wewe huko kijijini umezoea maji ya kisima tu .kaa kwa kutulia

USSR
 
Back
Top Bottom