Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida.

Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji.
MAMA SAMIA ACHONGEWE SANAMU SIYO TU KAFANIKIWA KUTURUDISHA KWENYE UONGOZI BORA WA ZAMA ZA MSOGA KWA KUTULETEA SHIDA YA MAJI KAMA WAKATI KIKWETE BALI PIA KAFANIKIWA KUTULETEA UGONJWA WA KIPINDUPINDU KAMA WAKATI WA KIKWETE ...PIA KAFANIKISHA KULETA TENA MAGENERETA KARIAKOOO...PIA KAFANIKISHA KURUDISHA WAFANYA KAZI HEWA WA KUTOSHA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wakati mwaka jana au juzi nadhani nilimwona Waziri Aweso kule Mbezi Makabe akipiga Tilalila za Maji na vyombo vya habari kuwa maji yanatoka anasaini mikataba hadharani na mbwembwe nyingi mno,Cha kushangaza leo nimetoka huko Makabe hadi Msakuzi Rafiki yangu ananiambia hakuna cha Maji wala nini hata hayo ya kununua elf 15 kwenye Magari hayapatikani.
 
Yule ni msanii kama wasanii wenzake

USSR
 
Kulikuwa na break down Mae neo ya Visiga na tatizo limeshafanyiwa kazi hali imerejea kwenye kawaida
Tatizo mawasilianooo hawakuchukua jukumu la haraka kuwataaarifu walajii

Hata maisha ya kawaida / mahusianoo taarifaa mapema ata ka umechaipia uwongoo guruduuu linasogea na kupunguza magomvi
 
Maji ni kama dhahabu hapa dar

USSR
 
Mamlaka husika ziwe zinatoa taarifa ya kukatika maji kwa wananchi badala ya kukaa kimya.
Inavyoonekana DAWASA au wizara ya maji hawana wasemaji.
Waziri anatoa ahadi ambazo hazitekelezeki au watendaji wake wanahujuma jitihada za Rais SSH
 
Tatizo mawasilianooo hawakuchukua jukumu la haraka kuwataaarifu walajii

Hata maisha ya kawaida / mahusianoo taarifaa mapema ata ka umechaipia uwongoo guruduuu linasogea na kupunguza magomvi
Customer service haipewi kipaumbele kabisa na hili ni tatizo sugu serikalini
 
Back
Top Bottom