Hata huku Ruaha National park .mtoni maji ni machacheWizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wanachi wanapata shida.
Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji.
Mkuu hapo mbezi darajani maji yanauzwa kwenye makenta yanazungusha mitaani kwa ndoo moja buku ,Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida.
Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji.
Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida.
Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji.
Pumbavu, miaka yote ya jpm hayakukaukaJuzi juzi nimepita pale Ruvu Maji yamepungua sana.
Hali ya hewa ndugu, kipindi cha JPM karibia chote Mvua zilinyesha kwa wakati.Pumbavu, miaka yote ya jpm hayakukauka
USSR
Mwaka huu kuna baridi la kutosha sana, mpaka kule kwetu Tabora bado chemchem hazijakauka...Hali ya hewa ndugu, kipindi cha JPM karibia chote Mvua zilinyesha kwa wakati.
Kulikuwa na break down Mae neo ya Visiga na tatizo limeshafanyiwa kazi hali imerejea kwenye kawaidaWizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida.
Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji.
Mimi nimeongelea niliyoyaona pale Ruvu na wala sijaongeza chumvi bro.Mwaka huu kuna baridi la kutosha sana, mpaka kule kwetu Tabora bado chemchem hazijakauka...
Hii sababu yako ni mfu.
Nimekwambia maji yapo na yanauzwa kwa biashara wewe unaleta ishu za ukameHali ya hewa ndugu, kipindi cha JPM karibia chote Mvua zilinyesha kwa wakati.
Nchi imezungukwa na mito,maziwa na bahari kila upande... Hatupaswi kuteseka kwa ukosefu wa maji.Mimi nimeongelea niliyoyaona pale Ruvu na wala sijaongeza chumvi bro.
Rejea Komenti yangu #12.Nimekwambia maji yapo na yanauzwa kwa biashara wewe unaleta ishu za ukame
USSR
Wanachagua wa kuwapa maji Kuna maeneo wanayafungia kwa makusudi ili magari ya maji yatu-babue
Haya yanauzwa hapa Mbezi darajani hayana break downKulikuwa na break down Mae neo ya Visiga na tatizo limeshafanyiwa kazi hali imerejea kwenye kawaida
Sijazungumzia hayo mimiHaya yanauzwa hapa Mbezi darajani hayana break down
USSR