Kuhusu tatizo la maji kurudi, either unweke ile stop valve ambayo inaruhusu one way flow of water, au ukishajaza tank funga koki ya kwenye mita, case solvedHabari zenu wakuu,
Kuna changamoto imekuwa inajitokeza nyumbani naomba mawazo yenu! Home kuna tank la litre 5000 ila limekuwa likiisha maji hata kama maji hayajatumiwa! Unakuta tank tunajaza mpaka juu lakini linaisha fasta bila hata matumizi! Mvua zilinyesha kama siku 3 zimepita tank likajaa full ila leo hamna maji kwenye tank! Kuna mtu kanambia kuna tatizo la valve kwahyo maji yatakuwa yamerudi idara ya maji! Nakaribisha maoni yenu!
Asante!
N.B: Nyumba inabakigi na mdada wa kazi peke( kwahyo matumizi ya maji ni madogo mno).
Sawa asaHayo maji yanarudi nyuma hamna uchawi hapo.
Asante kwa mchango wakoK
Kuhusu tatizo la maji kurudi, either unweke ile stop valve ambayo inaruhusu one way flow of water, au ukishajaza tank funga koki ya kwenye mita, case solved
nakaziaAngalieni kama kuna leak, funga koki inayopandisha na inayoshusha baada ya maji kujaa kisha angalia km yataisha
Sio kila fundi anachemka ni wenda ume kutana na watu wasio waelevu katika mfumo ya majiTatizo hili lilinitokea na kila fundi anachemsha kwa sababu hawana vifaa vya kupima wapi pipe imepasuka
Nikawaambia wafumua kila sehemu bila kujali gharama
Bingo wakapata panapovuja na kumaliza maji
Ni hatari sana kwani maji chini ni hatari
Non return valves au reflux valve hii kazi yake ni kuruusu maji kwenye uelekeo mmoja tuuu yasi rud nyumaMafundi bomba kuna vifaa wanafunga bhana, vinazuia maji yasirudi nyuma.
Kwa ujazo wa lita 5000 kama yanavuja yangeonekana tu.
Nikipata nafasi nitaweka picha (hapa hapa) ya hivyo vikoki vinavyozuia maji yasirudi nyuma.
NOTE; Kama utakipata, fundi ambae hajui hiki ni kifaa gani sio rahisi akakifunga kwa usahihi, atakua anajifunzia hapo!!
Basi kwangu walikuwa makanjanjaSio kila fundi anachemka ni wenda ume kutana na watu wasio waelevu katika mfumo ya maji
Maji kupotea Ina tegemea cha kwanza fund anatakiwa aelewe mfumo uliopo kwenye system yako ya maji
Ki kawaida kabisa pipe inayo Peleka maji kwenye tent (inlet) inakuwa tofaut na inayo toa (outlet) na hii inlet huwa inaingiza kwa juu hivyo haiwezi kurudisha maji kwenye mfumo wa dawasa!(kama mfumo ni wa kawaida) hapa tuna zungumzia kuusu tank na mfumo wake tuu
Kama mfumo sio wa kawaida yani katumia pipe moja kuingiza kwenye tank na kusaply maji ni lazima atunie non return valve kwenye pipe inayo leta ili yasirud yanapo toka.
Kwaiyo fund akija tuuu kwako atasoma kwanza fumo uliopo ndio Ata Anza kusoma au kutafuta upotevu una tokea wap?
Cha kwanza atakazimika kufunga valv zote zinazo ingiza maji ndan zen achek Tena kama maji yanapungua kama yanapungua manake maji hayapotelei ndani ni nje.
Hapo Tena Ana angalia pipe zilivyo pita kama Kuna access ya mfumo kurudisha maji wenye main pipe hii haitakiwa kuwepo labda kama makosa yamefanyika wakati wa kufanya installation. So kutoka hapo atakazimika kufatikia pipe hizo na Mala nying ni male connector ndio Zina letaga shida
Kuna nafundi alafu Kuna wabaushaj