Estone
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 622
- 630
H
Huyu yuko na hoja ya kifundi, inlet iko juu out let iko chini sasa yanarudije? Aangalie anakoruhusu maji kwenda ama housegirl anauza maji hujui?Maji hayawezi rudi Idara ya Maji kwa kuwa pipe ya kuingiza maji kwenye Tank lazima itakuwa iko juu ya Tank hivyo hayawezi rudi mpaka yaishe kwenye Tank. Nafikiri kutakuwa na leakage kwenye mabomba yanayotoa maji toka kwenye Tank