Ikiwa Mimi ni fundi bomba kwa tatizo kam hilo ni kwamba kwenye meter kuna kifaa kinaitwa RETURN VALVE inawezekana kimekufa na kazi yake ni kuzuia maji yaliokwenye mfumo wa ndani yasirudi nyuma......kwa kesi iyo ni kwamb either return valve imekufa au haipo kabisa ndo shida iyo tumesolve sana izo mambo