Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yana rangi gani? yanatoa harufu?
Dr Husn, yana rangi ya pale purple na yananukia kama euphoria perfume by cK.
Msaada wa mwaka mpya
Dr Husn, yana rangi ya pale purple na yananukia kama euphoria perfume by cK.
Msaada wa mwaka mpya
sanatokwa na hayo maji maji kwa muda gani sasa??rangi yake?yana harufu??mna tumia njia gani ya uzazi wa mpango??hayo maji maji yanauhusiano wowote na mzunguko wake wa hedhi??
Pole sana..
ndugu huwa inategemea zinaweza kufululiza hata siku 3 au 2 ,,,rangi ni kama nyeupe nyeupe ,,,sijawai kuyanusa ,,huwa tunatumia kinga condom,, hapana hayahusiani na mzunguko wa hedhianatokwa hayo maji maji yanatoka kwa muda gani sasa??rangi yake?yana harufu??mna tumia njia gani ya uzazi wa mpango??hayo maji maji yanauhusiano wowote na mzunguko wake wa hedhi??
Pole sana..
ndugu huwa inategemea zinaweza kufululiza hata siku 3 au 2 ,,,rangi ni kama nyeupe nyeupe ,,,sijawai kuyanusa ,,huwa tunatumia kinga condom,, hapana hayahusiani na mzunguko wa hedhi
s
sijawahi kuyanusa kiukweli so sijui harufu yake then yana rangi kama maziwaziwa hivi yani meupe
Kuokoka wakati tayari anaumwa?Haya ndo matokeo ya kuvunja amri ya sita ya mungu,dawa hapo ni kuokoka tu,vinginevyo........................