Maji maji ukeni

Maji maji ukeni

MATESLAA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,246
Reaction score
75
wana jf naomba kulizi mpenzi wangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji maji ukeni kiasi cha kufanya nishindwe kumwingilia tatizo ni nini hapa wakuuuu
 
Tuna madaktari bingwa humu,ukifa ni uzembe wako tu.
Watakuja nina hakika!
 
anatokwa hayo maji maji yanatoka kwa muda gani sasa??rangi yake?yana harufu??mna tumia njia gani ya uzazi wa mpango??hayo maji maji yanauhusiano wowote na mzunguko wake wa hedhi??
Pole sana..
 
anatokwa na hayo maji maji kwa muda gani sasa??rangi yake?yana harufu??mna tumia njia gani ya uzazi wa mpango??hayo maji maji yanauhusiano wowote na mzunguko wake wa hedhi??
Pole sana..
 
Pole sana mkuu,naamini dokta wetu jf atatoa tiba,ila michango michache ya wanajamvii uijibu km daily maji yanatoka,harufu.
 
anatokwa na hayo maji maji kwa muda gani sasa??rangi yake?yana harufu??mna tumia njia gani ya uzazi wa mpango??hayo maji maji yanauhusiano wowote na mzunguko wake wa hedhi??
Pole sana..
s

sijawahi kuyanusa kiukweli so sijui harufu yake then yana rangi kama maziwaziwa hivi yani meupe
 
anatokwa hayo maji maji yanatoka kwa muda gani sasa??rangi yake?yana harufu??mna tumia njia gani ya uzazi wa mpango??hayo maji maji yanauhusiano wowote na mzunguko wake wa hedhi??
Pole sana..
ndugu huwa inategemea zinaweza kufululiza hata siku 3 au 2 ,,,rangi ni kama nyeupe nyeupe ,,,sijawai kuyanusa ,,huwa tunatumia kinga condom,, hapana hayahusiani na mzunguko wa hedhi
 
ndugu huwa inategemea zinaweza kufululiza hata siku 3 au 2 ,,,rangi ni kama nyeupe nyeupe ,,,sijawai kuyanusa ,,huwa tunatumia kinga condom,, hapana hayahusiani na mzunguko wa hedhi

Ya kawaida hayo!uke ukiwa na majimaji ndo raha ya mwanamke!hakikisha hayo maji hayakosekani ukeni!
 
s

sijawahi kuyanusa kiukweli so sijui harufu yake then yana rangi kama maziwaziwa hivi yani meupe

Huyo mpenzi wako ana uambukizo wa vaginal candidiasis na unatibiwa kwa kutumia antifungal medications, vikiwepo vidonge au cream ya kutumbukiza ukeni. Kwaq ushauri zaidi wewe na mpenzi wako muende kituo cha huduma za afya mnachopenda au kilicho karibu nanyi, na tafadhali mzingatie ushauri wa watalaam.
 
Haya ndo matokeo ya kuvunja amri ya sita ya mungu,dawa hapo ni kuokoka tu,vinginevyo........................
 
Back
Top Bottom