Jamaa hapo anafikiri ni sababu kama za akina DAWASCO.
Ngoja watetezi wake wajeKwa beberu kubwa huko
Hata ingekuwa haziripotiwi watu wa USA ni mara 100 % Kwa maisha Bora zaidi yetu hivo ndio ilivyoKuna habari nyingi kuhusu ulaya na america haziripotiwi hasa zinazohusu umaskini na hali mbaya kimaisha.
U.S. waliopata uhuru wao miaka 245 iliyopita wana tofauti kubwa na Tanzania ya miaka 60. Halafu Kwenye ubora na udhaifu upo, kuusema sio dhambiHata ingekuwa haziripotiwi watu wa USA ni mara 100 % Kwa maisha Bora zaidi yetu hivo ndio ilivyo
Niliambiwa kuna tofauti kati ya barafu(ice) na theluji(snow)
Nafikiri kupata Uhuru mapema zaidi sio tatizo kuna nchi hazijawahi kutawaliwa na uchumi wao sio mzuri. Pia kuna nchi zilizopata Uhuru miaka ya kulingana na za kwetu wapo mbali kiuchumi kitu kukibwa ni uongozi uliopo Madaraka nchi nchi kama za china , India , Malaysia , Singapore etc uchumi wake umekuwa Kwa kasi ya hatariU.S. waliopata uhuru wao miaka 245 iliyopita wana tofauti kubwa na Tanzania ya miaka 60. Halafu Kwenye ubora na udhaifu upo, kuusema sio dhambi
U.S. waliopata uhuru wao miaka 245 iliyopita wana tofauti kubwa na Tanzania ya miaka 60. Halafu Kwenye ubora na udhaifu upo, kuusema sio dhambi
Nafikiri kupata Uhuru mapema zaidi sio tatizo kuna nchi hazijawahi kutawaliwa na uchumi wao sio mzuri. Pia kuna nchi zilizopata Uhuru miaka ya kulingana na za kwetu wapo mbali kiuchumi kitu kukibwa ni uongozi uliopo Madaraka nchi nchi kama za china , India , Malaysia , Singapore etc uchumi wake umekuwa Kwa kasi ya hatari
Umri wa taifa haukwepeki tunapoangalia maendeleo yake japo kuna vigezo vingine vinavyoweza kurudisha nyuma au kuspeedup maendeleo pia
Mito yetu inapokauka kutokana na ukame kukithiri umeme hukatika...
Vietnam iliyochakazwa na USA Kwa miaka 20 je ikaachwa imesambaratishwa mwaka 1975 ndio Vita vilikwisha. Na je South Africa iliyopata Uhuru 1994. Na je Ethiopia, Nepal ambazo hazijawahi kutawaliwa je. Nafikiri maendeleo ni kitu complicated SanaUmri wa taifa haukwepeki tunapoangalia maendeleo yake japo kuna vigezo vingine vinavyoweza kurudisha nyuma au kuspeedup maendeleo pia
Tunapolinganisha tunatakiwa kulinganisha vitu vinavyofanana katika nyanja mbalimbali na umri wa taifa ni mojawapo..Haiti ilipata uhuru 1804 lakini hawana maendeleo yoyote.
Umri wa taifa haukwepeki tunapoangalia maendeleo yake japo kuna vigezo vingine vinavyoweza kurudisha nyuma au kuspeedup maendeleo pia
Tunapolinganisha tunatakiwa kulinganisha vitu vinavyofanana katika nyanja mbalimbali na umri wa taifa ni mojawapoVietnam iliyochakazwa na USA Kwa miaka 20 je ikaachwa imesambaratishwa mwaka 1975 ndio Vita vilikwisha. Na je South Africa iliyopata Uhuru 1994. Na je Ethiopia, Nepal ambazo hazijawahi kutawaliwa je. Nafikiri maendeleo ni kitu complicated Sana
Nadhani Tanzania tuna hali nzuri kuliko Haiti iliyopata uhuru 1804 hivyo tunapaswa kutembea kifua mbele.Tunapolinganisha tunatakiwa kulinganisha vitu vinavyofanana katika nyanja mbalimbali na umri wa taifa ni mojawapo
Uwoga wetu ndio umetuweka hapo, hivi tungeshikilia msimamo kama wa Korea kusini na China si tungekua sawa eeeMwaka 1960 Korea ya kusini, Vietnam na nchi nyingine za Asia ya Kusini Mashariki zilikuwa hazina tofauti kimaendeleo na Tanzania na nchi nyingine nyingi za barani Africa.
Uwoga wetu ndio umetuweka hapo, hivi tungeshikilia msimamo kama wa Korea kusini na China si tungekua sawa eee