Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sasa fahamu maendeleo ni pamoja na kupewa chanjo ambazo zinakuzuia kufa mapema au kupata ulemavu wa kudumu, sio barabara na madaraja tu.
Beberu la Kimarekani limechelewesha Maendeleo yetu sana