Beberu la Kimarekani limechelewesha Maendeleo yetu sana
Hongera mkuu. Mtu mstaarabiu anasimamia hoja sio maneno ya kejeli. Inaonyesha namna elimu ilivyoshindwa kukutofautisha na ambaye hana, una uwezo mdogo wa fikra na uchambuzi wa mambo duniani. Unahamaki sababu huwezi kujenga au kutetea unachopostUsikaririshwe mambo kama mbumbumbu. Kwa hiyo ukiingia YouTube sasa hivi huwezi kuikuta kumbukumbu ya hii taarifa kutoka BBC na CNN?
Kuna tukio limekua na coverage kubwa zaidi katika vyombo vikubwa vya Marekani na dunia nzima kwa wiki hii zaidi ya hilo janga la theluji Texas?
Halafu kwa nini unataka kufananisha umaskini, njaa, magonjwa na mafuriko ambayo ni mambo yanajirudia kila mara na binadamu wanaojielewa wanawaza kuweka mipango ya kuzuia dhidi ya Tukio kama la Texas ambalo ni janga lisilotarajiwa?
ππYa beberu la kichina mkuu sio la Marekani apa nina sema asante mchina
Kama sio mchina tungekuwa tunaishi maisha ya dhiki Sanaππ
Mungu alijua kabisa maana sasa hivi Tanzania tungeshawekewa sanctions kila konaKama sio mchina tungekuwa tunaishi maisha ya dhiki Sana
"mito yenu"Hata bila mito yenu kukauka umeme huwa unakatika....
Nani kakudanganya acha kupotosha Texas ni Nchi, USA ni muungano wa Nchi hizo 50+ siyo majimbo sawa kijana kasome uelewe vizuri,Nchi ni USA Texas ni jimbo ambalo kwa Kwetu ni kama mkoa tu kwa hadhi achana na swala la ukubwa