Mimi mpaka nimeamua kuita wachimbaji wa Borehole drilling na nimepata maji matamu bila chumvi.Wana JF mnaoishi sehemu zenye uhaba wa maji, hebu tuelezeni basi sehemu zenu ni zipi na hampati maji kkwa ukawaida
Mkuu umeula! Nimefikiria sana juu ya hilo. Hivi gharama zikoje, na wanapima kabla ya kuchimba kama maji yako wapi na watachimba kina gani?Mimi mpaka nimeamua kuita wachimbaji wa Borehole drilling na nimepata maji matamu bila chumvi.
Sasa hivi natengeneza sweeming pool ili niwe najipoza huku nikiburudika na Bia bardiii.
Maisha mafupi sana haya.
Na huenda nikafungua kiwanda cha maji siku za usoni nataka kuvuta mkopo wa Kiisilamu wenye riba nafuu iliyofichwa fichwa.
1.8 mills hiyo gharama kina ni mita hamsini (inategemea bed rock ya eneo uliloko)Mkuu umeula! Nimefikiria sana juu ya hilo. Hivi gharama zikoje, na wanapima kabla ya kuchimba kama maji yako wapi na watachimba kina gani?
hii ni ghrama ya jumla, yaani kupima point ya kuchimba, kuchimba, casing, piping na sealing? Upo Dar?1.8 mills hiyo gharama kina ni mita hamsini (inategemea bed rock ya eneo uliloko)
Imewachukua siku mbili kupima ili kupata maji yasiyo na chumvi.
Nimeweka tenki la 1000 ltrs na linajaaa mpaka yanamwagika.
Tanzania tuna rasilimali nyingi sana ila know how to ndio inahitajika.
Mkuu, unajua ni kiasi gani cha maji yanakwenda kuishia baharini na kwenye maziwa? Na pia, kuwa na miradi ya Hydo hakuzuii kusambaza maji kwa matumizi, kwa kuwa bado unaweza kutumia maji downstream ya HEP. Hydo hazi-consume maji, zinayapitisha tu kwenye turbines na infact yanapotoka kwenye turbine yanakuwa na pressure kubwa tu. Kwa hiyo kitu kimoja hii serikali ingekuwa ni ya mainjinia wangefanya kila mradi wa HEP unakuwa chanzo cha kusambaza maji, downstream the turbines
Angalia picha hii ya Mtera
Kiwanja changu kipo Kigamboni karibu na Dar Zoo.hii ni ghrama ya jumla, yaani kupima point ya kuchimba, kuchimba na piping na sealing? Upo Dar?
I say! Jamaa waliokuchimbia wanaitwaje? Contacts?Kiwanja changu kipo Kigamboni karibu na Dar Zoo.
Hapo ni gharama zote pamoja pump pipes na wire.
Mkuu kuchukua maji downstream ya turbines hakupunguzi kina cha maji ya HEPIkiwa kina cha maji kinapungua unafikiri nini kitasukuma hizo turbines ili umeme uzalishwe? Hapo nilikuwa nazungumzia wale wanaolalamika kuhusu umeme.
Mito mingi na mabwawa maji yamepungua kama sio kukauka kabisa kutokana na uhaba wa mvua, mwisho wa siku lazima kuwe na migawo ya maji
Unaishi wapi mkuu? Nakuuliza hivi kwa sababu maeneo mengine ukichimba kisima maji yana chumvi kali sana hata wanyama wenyewe hawawezi kunywa aseeMimi mpaka nimeamua kuita wachimbaji wa Borehole drilling na nimepata maji matamu bila chumvi.
Sasa hivi natengeneza sweeming pool ili niwe najipoza huku nikiburudika na Bia bardiii.
Maisha mafupi sana haya.
Na huenda nikafungua kiwanda cha maji siku za usoni nataka kuvuta mkopo wa Kiisilamu wenye riba nafuu iliyofichwa fichwa.
Tafuta professionals kwenye Borehole drilling business wengi ni wababaishaji kabla ya kuanza kazi muulize maswali ya kitaalamu kama anajua vitu kama Bedrock na kama anavipimo vya kisasa vya kujua maji yasiyo na chumvi yako umbali gani.Unaishi wapi mkuu? Nakuuliza hivi kwa sababu maeneo mengine ukichimba kisima maji yana chumvi kali sana hata wanyama wenyewr hawaezi kunywa asee
Nazungumzia uzalishaji wa umeme mkuu sizungumzii kuchukua maji downstream (outflow)Mkuu kuchukua maji downstream ya turbines hakupunguzi kina cha maji ya HEP
Sawa asante kwa ufafanuziTafuta professionals kwenye Borehole drilling business wengi ni wababaishaji kabla ya kuanza kazi muulize maswali ya kitaalamu kama anajua vitu kama Bedrock na kama anavipimo vya kisasa vya kujua maji yasiyo na chumvi yako umbali gani.
Kiwanja kipo Bunju karibu na daranja upande wa mlimaniUnaishi wapi mkuu? Nakuuliza hivi kwa sababu maeneo mengine ukichimba kisima maji yana chumvi kali sana hata wanyama wenyewr hawaezi kunywa asee
Mkuu huwa kuna hesabu zinafanyika, sio wanaweka tu. Na kumbuka si wakati wote kunakuwa na matatizo ya level ya maji kwenye dams. Na pia sio HEP zote ni reservoir, kuna zile tunaita run of the river ambazo hazihitaji kina cha majiNazungumzia uzalishaji wa umeme mkuu sizungumzii kuchukua maji downstream (outflow)
Nazungumzia ikiwa kwenye intake pale kwenye reservoir maji yamepungua sana
Tuseme mfano mto unaoleta maji kwenye hydropower plant kina kimepungua sana au kukauka turbines hazitaweza kuzungushwa kuzalisha umeme
Nafikiri tutakuwa wote ukanda huohuo ngoja nifanye kuwatafuta hao jamaaKiwanja kipo Bunju karibu na daranja upande wa mlimani
Tanzania tunazo zipi mkuu?Mkuu huwa kuna hesabu zinafanyika, sio wanaweka tu. Na kumbuka si wakati wote kunakuwa na matatizo ya level ya maji kwenye dams. Na pia sio HEP zote ni reservoir, kuna zile tunaita run of the river ambazo hazihitaji kina cha maji
Sawa tuchukulie mfano hiyo Rusumo HEP station ambayo ni run-of-the-river maji ya mto Kagera yakauke je, hiyo hiyo Rusumo hydropower station wataweza kuzalisha umeme?